Mtakuja kusema tumeua polisi wakati tulidhani ni majambazi, yule kamanda mkuu wa polisi aliesema tulale na silaha kama yupo ni bora abadilishe kauli, maana sasa makuruti wanatumwa kutukama saa za usiku wa manane na wanagonga mlango kama wezi wanaong'owa dirisha ni hatari sana.
Yaani ikitokea nimekurupuka usingizini na silaha yangu nikaamua kupambana kizani na kuwaua au kuwajeruhi vibaya japo kwa kitu chenye makali kali watasemaje?
Hivi polisi hamjiamini kukamata watu mchana kweupe?