Tanzania vs Algeria kesho

Tanzania vs Algeria kesho

Msuva na Samata wako mbele,wengine wapo katikati na ulinzi
 
Hahah...Kapombe kajifunga bonge la goli
 
Tutapigwa 5 leo

Tunasimama ,wanatuchezea watakavyo
 
Algeria 3- Yanga 1
Nawahurumia sana yanga wanavyokimbizwa
 
upuuzi mtupu. waondoe wote hao wawekwe vijana wa ngorongoro heroes labda tutapiga hatua. nimechukia sana
 
Hawa ndio wanamfanya Young D aimbe bongo bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom