Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.

Mkuu unahangaika bure.. Uzalendo waanze kuuvaa viongozi wetu kwanza..

Sasa mimi nisiyeumia Stars kufungwa au kutoa draw nina tofauti gani na yule anayeuzia Twiga hao hao waarabu.. Tena si afadhali ya mimi kuliko Kiongozi jangili anayeua tembo kila kukicha.. Aaaahh uzalendo wakati mnatuibia haki zetu, too hell with that.. Hii nchi ilipo sasa kila mtu anaangalia ustaarabu wake..
 

...sasa wewe unalazimisha watu wapende ugonjwa? siku zote binadamu anaangalia penye furaha ndio anapapenda,sasa wewe chizi unamwagika mitusi huku kulazimisha watu waipende huzuni?!
You must be mad!
#rubbish!
 
Huu ndo upvmbavu ambao utawakwamisha Kusonga mbele maishani.
Mna safari ndefu sana!

Angalia usije ukaachia kimba hapa maana unaonekana umeumia sana teh teh teh teh..

Unatulazimisha kuipenda nchi ambayo haitupendi?? Eti unasema kusonga mbele maishani?? Hivi unafikiri kila mtu hapa ana njaa kama wewe mbuzi teh teh teh
 
jecha ajeee afute mechi

Nadhani utakuwa unatoka visiwani. Weka siasa pembeni mkuu, wengi wetu hatuitaki CCM lakini linapokuja swala la Taifa (Tanzania) hakuna swala la itikadi ya chama chochote wala ubara au Uzenji. Taifa stars ni ya wote bila kujali ulizaliwa wapi au wazazi wako wana asili ya wapi? Watanzania inabidi tuelimishwe kuhusu jambo hili. Kuna threads ukitembelea hapa JF watu wanaongelea vitu vya kipumbavu mfano tofauti za dini, ukabila, ubara vs Uzenji. Upumbavu mtupu. Freeland jaribu kukuza akili zako expose yourself with different ideas utakuja kuwa a better person.
 
Last edited by a moderator:

... I SALUTE!
mkuu; wanafiki wa jembe na nyundo wanapenda sana maigizo..
 
Ujinga huu wa mabeki na mkwasa kumuingiza ngasa na ndemla imetucost. Ila bado nina imani. Algeria ni mbovu wala sio hii ya 2014.
 
Ujinga huu wa mabeki na mkwasa kumuingiza ngasa na ndemla imetucost. Ila bado nina imani. Algeria ni mbovu wala sio hii ya 2014.

umeonaeeeh ngasa kaua pale mbele kabisaa ila sio mbaya kocha atakua kaelewa makosa ya timu ila wamecheza vizuri
 
ha-ha Bora tuwekeze kwenye Music na Bongomovie
 

bora nibaki mjinga kuliko kushabikia ungese
 
Last edited by a moderator:
Hata Tungeshinda Tusingeenda Popote
Raisi Wetu Alishakataza Safar za nje
 
Kila kitu mnakiangalia kwa jicho la kisiasa.No wonder kuna kijana alimfukuza baba yake nyumbani kwake eti kwa kuwa amekataa kuwa CDM.Yaani mmepachikwa CHUKI KALII ambayo hata Mbowe mwenyewe haishi hivyo.
 
Kuna baadhi ya Watu hawaelewi tu kuhusu soccer , goli gani lile la kwanza kwa Algeria, kwa aliecheza mpira, goli la kwanza la Algeria is clear offside.

Lakini kwa kuwa imeshapangwa Algeria lazima iingie fainali za World Cup, tutafanyaje.

Lakini itabaki kwamba Taifa Stars (TZ) wameonyesha uwezo kuliko hao waliobebwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…