barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Aliyekwambia lazima uipende ni nani? Ishu yangu ni baadhi ya nyumbu kuleta siasa na kuhusisha na stars wakati imecheza mpira mzuri.Debuli umemjibu huyu Pumbavu yake. Kwakuwa ni TS ndio tuipende. Wanaboronga kichwa cha mwendawazimu bado tupende tuu, ww ndio maana unaugua maradhi ya moyo.
Sio lazima kuipenda na haulazimishwi kuipenda. Mimi NAIPENDA NA WAMENIPA BURUDANI SAAAFI KABISA LEO!
Tatizo ni yule jamaa kawaharibu, nafikiri unanielewa!