Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.
Debuli umemjibu huyu Pumbavu yake. Kwakuwa ni TS ndio tuipende. Wanaboronga kichwa cha mwendawazimu bado tupende tuu, ww ndio maana unaugua maradhi ya moyo.
Aliyekwambia lazima uipende ni nani? Ishu yangu ni baadhi ya nyumbu kuleta siasa na kuhusisha na stars wakati imecheza mpira mzuri.
Sio lazima kuipenda na haulazimishwi kuipenda. Mimi NAIPENDA NA WAMENIPA BURUDANI SAAAFI KABISA LEO!
Tatizo ni yule jamaa kawaharibu, nafikiri unanielewa!
 
Kwaiyo TS wasubiri Jecha afute matokeo ya mechi ya leo ndio watapata Salama.
 
Kuna watu wanatakiwa kupigwa vidole vya vutu haki ya nani. Mtu na akili zako unafurahia hawa waarab kwa kusawazisha badala ya kusononeka Taifa Stars kukosa ushindi? Sijui watu mkoje. No pride ya kuwa Mtanzania, No uzalendo wala nini. Inaelekea Tanzania ikipigana vita na Algeria kuna watu watasaidia Algeria iangamize Tanzania.
 
Sijapanic, wananiuzi wanaojiita watanzania wataka mabadiliko, wanaponda timu bila kutoa suluhisho na kuingiza siasa.
Soma komments za watu utanielewa.

Peleka ujinga huko Huna nyie ndio mmefanya tukafungwa nataman tungefungwa 3_0 sisiem ndio tatizo
 
Kuna watu wanatakiwa kupigwa vidole vya vutu haki ya nani. Mtu na akili zako unafurahia hawa waarab kwa kusawazisha badala ya kusononeka Taifa Stars kukosa ushindi? Sijui watu mkoje. No pride ya kuwa Mtanzania, No uzalendo wala nini. Inaelekea Tanzania ikipigana vita na Algeria kuna watu watasaidia Algeria iangamize Tanzania.
viva Algeria.Tena wamefanya poa kiasi.ilipaswa mpigwe tano
 
Ikiwa kama timu ya Taifa inakwenda kufanya mazoezi na timu ya chuo, je unatarajia nini? Matokeo yasiyoridhisha zinazopata timu za taifa ni kiashirio cha uchumi mbovu ulioambatana na uwekezaji mbovu. Mtu hawezi kunenepa miguu pekee. Hivyo hivyo, Tz haiwezi kufanikiwa kwenye michezo ili hali sekta nyingine zote (elimu, afya, nishati, miundombinu, ...) inasuasua.

ccm imefeli kila sekta.Mpira ni uwekezaji huwezi kushinda kiujanjaujanja
 
Mtapiga kelele weee ila mkumbuke SAFARi za nje Rais amekataza kwahiyo wabongo wanaoishi Algeria waunde timu wakisakate game ya marudiano
 
MNAOPONDA STARS NI WAJINGA NA WAHAINI, mnatakiwa kuisapoti timu yenu, tena inapoonesha kiwa ime-improve, Stars wamecheza vizuri sana. HATUJAFUNGWA.
HONGERA STARS!

Nawashangaa watu hasa WANA UKAWA MNALETA SIASA HUMU. Kamwe kwa mentality hiyo hamtatoboa maisha, ulipofikia ndo mwisho!
MAANINA ZENU WOTE MNAOIBEZA STARS!
kila siku ndio maneno yenu...eti mmejitahidi...hahahaha. ..kujitahidi kila siku...pheeeeeew
 
watu wengine bana. so ts haijaonyesha kiwango chochote au mlitaka tufungwe kabisa aaaagh
 
Da Mungu wngu nashangaa hata mimi stars iliposawazishiwa hata haijaniuma. Inaonekana nina hasira moyoni na hii nchi. Starehe yangu ini hawa maccm wafeli katika kila kitu shenzi kabisa!
 
nnachokiamini ni kuwa ts ya mkwasa ni tofauti na ile ya wazungu hii ni bora kuliko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom