Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.
Tanzania na Algeria ni kama kumlisha mahindi Ndege mdogo kama Kisiesie
 
TZ 2-0 Algeria

Tuacheni mawazo finyu.... mpira si siasa..
Leo sisi watanzania tuishangilie timu yetu ila tujue hatushindi. Riyad mahrez mchezaji bora wa pili ulaya so far nyuma ya neymar.
Mfungaji bora ureno ni malgeria.
 
ALGERIA tupo vizuri tunasubiri kupiga mtu mbele ya rais wake mpya
 
mbona stars ya meximo ikicheza hata watoto huku vijijiini walikuwa wanaju, tbc walikuwa mstari wa mbele wiki moja kabla mambo yale siku hizi hamna, why?
 
Yacine brahim, reyad mahrez, nabil bentalab, seleman islam na baghdad tupeni raha leo hata refa akiwa rubuva
 
Mimi ningeshauri tu, kikwete asiende uwanjani, amwache magufuri akajaribu kuipa upepo team ya taifa, raisi alietoka waga hana upepo na team yetu, akiwepo uwanjani tu, ujue hatushindi...! Hivo kwakuwa nayeye analijua hilo basi hana budi kumwacha raisi Mpya nayeye akajaribu bahati yake
 
Mgeni rasmi bila shaka atakuwa Bi Samia Suluhu makamu wa rais...

Mwanzoni alikuwa awe Mhe. Magufuli lakini imeshindikana...

Mgeni rasmi bila shaka atakuwa Bi Samia Suluhu makamu wa rais...

Mwanzoni alikuwa awe Mhe. Magufuli lakini imeshindikana...

Sawa mkuu, nimekupata..! Mwanzoni namimi nilijua ni magufuri ndio ataeenda uwanjani, ila Jana kuna blog ya michezo ikaandika kuwa magufuri ataambatana na raisi mstaafu jk..!
 
Yacine brahim, reyad mahrez, nabil bentalab, seleman islam na baghdad tupeni raha leo hata refa akiwa rubuva

We kweli panzi. Sasa hao watakupa raha gani? Au kuwataja majina ndio tukuone unawajua Sana?
 
Tuacheni mawazo finyu.... mpira si siasa..
Leo sisi watanzania tuishangilie timu yetu ila tujue hatushindi. Riyad mahrez mchezaji bora wa pili ulaya so far nyuma ya neymar.
Mfungaji bora ureno ni malgeria.

Mkuu nakushauri endelea kufuatilia siasa tu soccer haufanani nalo.

Kusema TZ tutafungwa tu, utadhani hao Algeria wanacheza pekeyao uwanjani ni zaidi ya ukilaza.

Me mpaka sasa sijui gem itaishaje, lakini siwezi sema tunafungwa.
 
Yacine brahim, reyad mahrez, nabil bentalab, seleman islam na baghdad tupeni raha leo hata refa akiwa rubuva

Mungu njoo ukae upande wetu wazalendo.

Watu kama hawa wanaoshabikia baba wa jurani waumbuke.
 
Mkuu nakushauri endelea kufuatilia siasa tu soccer haufanani nalo.

Kusema TZ tutafungwa tu, utadhani hao Algeria wanacheza pekeyao uwanjani ni zaidi ya ukilaza.

Me mpaka sasa sijui gem itaishaje, lakini siwezi sema tunafungwa.
Mkuu usijadili na kila kwa kila jambo..wengine ni wakupuuza...! Tunza nguvu zako kwa matumizi mengine..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…