Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Tanzania na Algeria ni kama kumlisha mahindi Ndege mdogo kama Kisiesie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashauri kuwepo dakika 3 za kimya kabla kuunza mechi kuomboleza kifo cha demokrasia Zanzibar.
TZ 2-0 Algeria
Tanzania na Algeria ni kama kumlisha mahindi Ndege mdogo kama Kisiesie
Mimi ningeshauri tu, kikwete asiende uwanjani, amwache magufuri akajaribu kuipa upepo team ya taifa, raisi alietoka waga hana upepo na team yetu, akiwepo uwanjani tu, ujue tunapigwa...! Hivo kwakuwa nayeye analijua hilo basi hana budi kumwacha raisi Mpya nayeye akajaribu bahati yake
Mgeni rasmi bila shaka atakuwa Bi Samia Suluhu makamu wa rais...
Mwanzoni alikuwa awe Mhe. Magufuli lakini imeshindikana...
Yacine brahim, reyad mahrez, nabil bentalab, seleman islam na baghdad tupeni raha leo hata refa akiwa rubuva
We kweli panzi. Sasa hao watakupa raha gani? Au kuwataja majina ndio tukuone unawajua Sana?
Tuacheni mawazo finyu.... mpira si siasa..
Leo sisi watanzania tuishangilie timu yetu ila tujue hatushindi. Riyad mahrez mchezaji bora wa pili ulaya so far nyuma ya neymar.
Mfungaji bora ureno ni malgeria.
Yacine brahim, reyad mahrez, nabil bentalab, seleman islam na baghdad tupeni raha leo hata refa akiwa rubuva
Mkuu usijadili na kila kwa kila jambo..wengine ni wakupuuza...! Tunza nguvu zako kwa matumizi mengine..Mkuu nakushauri endelea kufuatilia siasa tu soccer haufanani nalo.
Kusema TZ tutafungwa tu, utadhani hao Algeria wanacheza pekeyao uwanjani ni zaidi ya ukilaza.
Me mpaka sasa sijui gem itaishaje, lakini siwezi sema tunafungwa.