Hakuna cha ajabu hapo hata sisi tunazo bunduki..kama wangekuwa bora sana kupitiliza basi wange twaa kombe la dunia....Tuombe mungu kwa kuwa bunduki za algeria zote zimekuja, yacine brahimi na sofiane feghouli hawa jamaa ni nouma
Ushindi wa algeria ni faraja tosha kwa wapenda haki
Teh Teh...kwa hiyo unapendekeza tusipeleke timu uwanjani?Tanzania na Algeria ni kama kumlisha mahindi Ndege mdogo kama Kisiesie
Pole sana mkuu hilo halitokuwepo...uchaguzi zanzibar ni february ...hivi kuna demokrasia inayozidi kufanya uchaguzi?Nashauri kuwepo dakika 3 za kimya kabla kuunza mechi kuomboleza kifo cha demokrasia Zanzibar.
Mkuu ni kumbushe wakati tunacheza na Malawi nani alikuwa mgeni rasmi?Mimi ningeshauri tu, kikwete asiende uwanjani, amwache magufuri akajaribu kuipa upepo team ya taifa, raisi alietoka waga hana upepo na team yetu, akiwepo uwanjani tu, ujue tunapigwa...! Hivo kwakuwa nayeye analijua hilo basi hana budi kumwacha raisi Mpya nayeye akajaribu bahati yake
Siasa imekupofusha mkuu..Kamwe unatakiwa kujua kuwa kama ni hasara kimsingi itakuwa yetu sote kumbuka hii timu ina gharamiwa kwa kodi zetu...! amka..
sorry kwanza nianze kwa kufanya marekebisho kidogo kwenye comment yangu, nilikuwa na nia ya kusema kuwa akiwepo jk waga hatushindi ila kimakosa nikaandika tunafungwa...! Hivo ata kama kwenye match ya msumbiji mh alikuwepo basi still hatukushinda! Karibu sasa unijuze ulichokuwa unataka kunijuzaMkuu ni kumbushe wakati tunacheza na (Nchumbiji) nani alikuwa mgeni rasmi?
Sorry nilitaka kusema malawi...sorry kwanza nianze kwa kufanya marekebisho kidogo kwenye comment yangu, nilikuwa na nia ya kusema kuwa akiwepo jk waga hatushindi ila kimakosa nikaandika tunafungwa...! Hivo ata kama kwenye match ya msumbiji mh alikuwepo basi still hatukushinda! Karibu sasa unijuze ulichokuwa unataka kunijuza
Sorry nilitaka kusema malawi...
Tuacheni mawazo finyu.... mpira si siasa..
Leo sisi watanzania tuishangilie timu yetu ila tujue hatushindi. Riyad mahrez mchezaji bora wa pili ulaya so far nyuma ya neymar.
Mfungaji bora ureno ni malgeria.