LetterTo MyFather
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 308
- 661
Bahati mbaya hiyo chanell siipati kwangu.Minya ZBC 2 ipo clear sana
Channel gani
MAbuli ndani
Hakika...Leo Samata anatupia mawili na Ulimwengu anatupia moja..
Watakaa tu leo wapende wasipende!
Kipute kimeanza