Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.
Washabiki wana hamasa sana ...natumaini hawata tuangusha leo
 
Timu tayari zipo uwanjani tayari kwa mpira kuanza...

Tanzania wamevalia jezi za bluu kuanzia juu mpaka chini, wakisukuma mashambulizi kuanzia lango l kaskazini kuelekea kusini...

Huku wageni Algeria wakiwa na jezi za kijani juu mpaka chini...

Mpira umeanza....
 
If you wanna watch the game live online, please follow the link below:-

http://goatdee.net/126938/watch-tanzania-vs-algeria

Watch out for pop-ups. Enjoy the game.

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom