Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.
Ile timu nyingine haina hata mchezaji mmoja kwenye hii mechi!!

Mwisho wa zama
 
Hawa jamaa kamati ya UFUNDI inahusika. WAARAB WACHAWI SANA KUMAMAMAMBAMBAA ZAO
 
Dah!
Mbona tunakosa hivi magoli? Wakipata wao nafasi moja tuna wakati mgumu! Ila tunawala vyenga!
 
Dk 36

Tunakosa goli la wazi kabisa....
 
Hii Taifa stars ni noma..hawa waarabu wamrkuja na mganga nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom