Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.
Highlights zinaonyesha tunacheza vizuri kinoma. Tungekuwa clinical tungeshawanyamazisha kwa magoli 4 kama sio 5. Tunahitaji kuwapiga at least 3 tujiweke katika nafasi nzuri next week.
 
We need to win by at least three goals to have a fighting chance of winning the return leg. They will stop at nothing to win the return leg n their home turf. One-goal cushion is not gonna cut it.
 
Stars katika ubora wake kipindi cha kwanza! Finishing kidogo imetumaliza.
 
pasi tatu goli. beki kaiba mpira katoa pande la akili kwa namba 11,, kamanda kakokota halafu akipiga cross moja inaitwa hapakazi tu, likapigwa kichwa one bounce utasema dogo kaazima ndonga ya babu mamvi.....daa kitale cha taifa stars leo kinanipa raha sana, piga huyo mwarabu,,walitutesa sana na biashara ya utumwa
 
Linarudi hilo na Munaongezwa. Tanganyika Munapigwa 4-1 leo, kutangulia si Kufika. Mpaka haki yetu Wazanzibar tuipate wenyewe.

Bong'oa haki yako utaipata tuu tena toka kwa Watu8 hivi.

Haki yenu wazanzibari unakuja kuidai Tanganyika kama si ushoga nini. Uko zanzibar unadai haki ukiwa dar punga wewe
 
Last edited by a moderator:
Kipindi cha pili kimeanza...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom