Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.
hii ngoma ni draw.mnajifariji tu

utashindaje Mpira ilihali hujawekeza?
 
Stars wanaanza hovyo second half...

Algeria wanapata freekick nje kidogo ya 18 box...

Hatariiii...mpira unapita sentimeta chache juu ya lango....
 
Hawa jamaa watarudisha na kuongeza. Kasi tuliyokuwa nayo naona imepungua na ni hatari sana.
 
Kiungo cha Stars kimekatika na timu isipobadilika Algeria wanaweza kupata matokeo...
 
Ndogo ndogo hizo. Kuridhika na goli 1 ndio kutaipa nguvu Algeria na kuwanyoosheni vizuri waTz.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom