Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.
tatizo jingine nililoliona ni la umaliziaji au UFUNGAJI BORA, Mkwasa ajitahidi kuwafundisha namna nzuri ya ufungaji. Nafasi nyingi zilipotezwa sababu tu mchezaji anataka lazima afunge yeye hata kama yupo position mbaya. Angalia jinsi goli letu la kwanza lilivyofungwa, aliyetoa cross hakutaka kufunga yeye mwenyewe, akatoa pass ili wenzake wamalizie, hiyo ndiyo namna ya ufungaji bora. Wachezaji wasitafute umaarufu wa idadi ya magori mengi hata kama hawapo kwenye nafasi nzuri ya kufanya hivyo. Kocha Mkwasa ajitahidi kujenga ushirikiano mzuri sana wa safu ya ufungaji ndiyo siri ya mafanikio.
 
...kama wale "vibaka" wote walikuwepo pale uwanjani juzi, na bado wakashindwa kuwaibia wale waarabu yale magoli mawili, kitu gani kitatufanya tushinde leo ugenini, tena bila ya wale "vibaka" wetu kuwepo uwanjani??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom