Tanzania vs Algeria wachezee uwanja wa Ndege kuokoa muda

Tanzania vs Algeria wachezee uwanja wa Ndege kuokoa muda

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Kwa kuwa Tanzania inaingia uwanjani kucheza ili kukamilisha ratiba ili ipande ndege kurudi Tanzania,huu mchezo uchezewe uwanja wa Ndege ili wakishakula zao za uso kama 6 hivi ili kuwarahisishia usafiri

Itapendeza sana:Credit to P Makonda
 
Muda ni saa ngapi kwa Afrika Mashariki!
 
Kwa kuwa unaaminshwa upumbavu wa namba 4 kuamini ni 10 hebu jaribu kujithamini unamiliki kiwango gani cha shudu kichwani mwako ndugu yangu.
Nimefundishwa kuwa, usimjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake usije ukafanana naye.
 
Wangechezea jangwani tena peku kabisa hao washenzi wa ccm

Wakimaliza mechi washuke kwa miguu pembezoni mwa mto Nile watokee ziwa Victoria then Chato
 
Kwa kuwa unaaminshwa upumbavu wa namba 4 kuamini ni 10 hebu jaribu kujithamini unamiliki kiwango gani cha shudu kichwani mwako ndugu yangu.
Saa yako ya simu inakushitaki jinsi ulivyo, hebu niambie kuna 10 kwa huu muda kwenye saa yako.
 
Ndio nimeset kumi mbona wa ajabu ww ndugu yangu???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saa yako ya simu inakushitaki jinsi ulivyo, hebu niambie kuna 10 kwa huu muda kwenye saa yako.
 
Back
Top Bottom