Tanzania vs Algeria wachezee uwanja wa Ndege kuokoa muda

Tanzania vs Algeria wachezee uwanja wa Ndege kuokoa muda

Penzi limeingiaje kwenye comment yangu, wachaga wenzio hawana mawazo sanaaa ya chini mda mwingi wanafikilia pesa.

Sijamaanisha ulichodhania wewe.

Umesema una mapenzi na Algeria, na swali langu limetokana na ulichokisema.

Au kwa kuwa nimeandika Kiswahili.

Give free love= wape penzi bure.

Samahani kwa hilo!

Wachagga tunazaliana sababu ya mapenzi.

Hakuna asiyewaza mapenzi unless awe kilema wa hormone
 
Ok
 
Back
Top Bottom