Sijamaanisha ulichodhania wewe.
Umesema una mapenzi na Algeria, na swali langu limetokana na ulichokisema.
Au kwa kuwa nimeandika Kiswahili.
Give free love= wape penzi bure.
Samahani kwa hilo!
Wachagga tunazaliana sababu ya mapenzi.
Hakuna asiyewaza mapenzi unless awe kilema wa hormone