Tanzania vs Guinea: Tanzania yaaga mashindani baada ya kutoka sare ya mabao 2 kwa 2 dhidi ya Guinea

Tanzania vs Guinea: Tanzania yaaga mashindani baada ya kutoka sare ya mabao 2 kwa 2 dhidi ya Guinea

Kuna kitu kikubwa wachezaji wetu wanakosa, Kuna kitu kinaitwa "Football intelligence" sijui neno fasaha kiswahili ni ile hali yakujuwa au kusoma mchezo kabla ya tukio. wachezaji wetu hawana hii kitu. Unajuwa kabisa unaongoza goal 2 na utakuwa umepita na unawaona wapinzani wako wanakuja speed sababu wanataka goal wanajuwa draw nzuri kwao sisi draw mbaya ndio maana tukaona baada ya kuwafunga goal la 2 tukawaona Guinea tofauti speed sasa badala ya kuwasoma hawa wana moto ngoja to slow game kwa vipasi vya maudhi na kujiangusha kufanya mambo ili wapanick ndio kwanza tukaanza kucheza ngoma yao wanapiga sebene na sisi tunacheza sebene baada ya kucheza blues, tukaanza kubutua tu wanakuja tukipata tunapiga tu kwao wanakuja tena unaona kabisa goal linakuja. Hapo ndio intelligence inaonekana slow game piga square pass huku na huku kama mnaenda mbele wakirudi nyuma tu nyinyi mnaanza kwa kipa wenu bahati tukawa kama tunacheza league zetu ukija piga tu wanakuja piga wanakuja. wakapata goal wakaanza kutuudhi kujitupa hizo ndio akili. akili hizo hazikuwa na wachezaji wetu wala kocha kuwaelekeza wabadilike. Mimi nadhani hiyo ndio tofauti kubwa sana baina ya sisi na wao. Lazima tujuwe sisi ni kama team kamili maana hatuchezi sana nje wao wale ikija team yenyewe kama kina Nabby Keita hawa wote wanakaa bench ndio ujuwe bado sana sisi.
Na nahisi vingi vya vile vitoto vya Guinea vimetokea academy maana timu yao kubwa huko ni Horoya tuu ambayo imeanza kuwiki miaka ya karibuni but vina akili ya mpira seems wamewekeza.kwa.ajili ya kuuza wachezaji nje ya nchi ,huku Bongo hatuelewekagi kipi ni kipaombele si kwenye maendeleo ya kawaida,siasa au michezo
 
Giroud kombe la dunia alifunga magoli mangapi? Kwaajili taarifa yako bila Nchimbi na ule usumbifu wake pale mbele inawezekana tungekufa mapema tu,yes hey ndiye forward inatakiwa afunge,Ila huwezi kubeza kazi yake pale mbele
Nchimbi ndio fowadi pekee aliyesumbua Jana,zaidi ya mara 4 kacollide na kipa na kipindi cha pili alichoka sema Lyanga alikuwa mzigo tuu na Mhilu bora angeingia toka kipindi cha kwanza asaidiane na Nchimbi maana ana Kasi
 
Na nahisi vingi vya vile vitoto vya Guinea vimetokea academy maana timu yao kubwa huko ni Horoya tuu ambayo imeanza kuwiki miaka ya karibuni but vina akili ya mpira seems wamewekeza.kwa.ajili ya kuuza wachezaji nje ya nchi ,huku Bongo hatuelewekagi kipi ni kipaombele si kwenye maendeleo ya kawaida,siasa au michezo
Hata ukiwaona vitoto vidogo hivi kitu nilichopenda walivyobadilika kutoka draw walivyofungwa 2 unaona team wanatafuta nini pressure unajuwa tu hapa goal lipo
 
Nchimbi ndio fowadi pekee aliyesumbua Jana,zaidi ya mara 4 kacollide na kipa na kipindi cha pili alichoka sema Lyanga alikuwa mzigo tuu na Mhilu bora angeingia toka kipindi cha kwanza asaidiane na Nchimbi maana ana Kasi
Lyanga jana tangu 1st half hakuonekana,kwa nature ya gamejana nadhani,Sub ya Lyanga angeingia Kaseke japo hana accuracy pass sana ila anakaba
 
Tangu mwanzo wa michuano tatizo ni kocha
Mimi kwa maoni yangu..... ninawapongeza wachezaji walicheza vizuri...na kocha naona tumpe muda yupo vizuri...tulikosa technics za kilinda goli...mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Kocha wa sasa hana viwango kabisa,atafutwe Kocha mpya mwenye viwango anaezungumza na wachezaji muda wote wa mchezo Na kuwakumbusha majukumu yao staili ya Marcia Maximo.
 
Back
Top Bottom