Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Wanaquality ya wachezaji kuzidi TzSoma sentensi zako upya. Sub zao zimeamua game. Sisi tuli dominate sana game, hizo foot work etc zilikuwa wapi? Tumefungwa na tech bench lao PERIOD!
Mkuu leo nna bahat na weweJibu la swali la kwanza ni simba sc ndiyo imeandaa.
Jibu la swali la pili sijui kwa 7bu sina uhakika kama simba sc ndio inalipia gharama zao zote kwani hata hilo unaloita bonanza na wao wanafaidika. Mifano kadhaa ni hii wachezaji wao wanapata mechi fitness pia hizo timu zinafanya biashara hivyo zinafatiliwa popote zinapokwenda kwa namna flani wanapata pesa kupitia mashabiki wao pendwa.
Ya uhakikaa...Mitano tena
Noooo! Work rate yetu iliyofanya tuka dominate game ilikuwa kubwa mno ndio maana walichanganyikiwa wale. We didn't have new game plan walipobadilika! Hiyo kazi ya nani? Hawa walikuwa wetu kabisa!!Quality ya machezaji wao na wetu ndiyo imeamua game
Daah Manula hana lawama na Goli lolote mkuuWee kile kichwq cha ulaya...asingeweza fanya lolote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama yako akiwa kocha msaidizi wangu mambo yatakuwa murua
Exactly, unge change tech bench la hizi timu Tz ingeshinda! Hata Matola ananipa wasiwasi sana sasaWakina Nchimbi walichoka walikuwa hawakabi muda wote mpira unachezewa golini kwetu kocha amekaa tu halafu yunafungwa ndio anafanya sub
Mambo ya substitution ni subset tuu ya matatizo ya kocha wetu.Wakina Nchimbi walichoka walikuwa hawakabi muda wote mpira unachezewa golini kwetu kocha amekaa tu halafu yunafungwa ndio anafanya sub
Kweli kabisa...kajitahidi sana kijana.Daah Manula hana lawama na Goli lolote mkuu
Pole sana kwa mawazo yako finyu. Hivi unadhani kila mtu ni mushabiki sio. Mm nasema haya nikiwa kama mpenzi wa michezo sio kama nyie mashabiki maandazi kila kitu ni kulaumu tu bila kujua ya kwamba sasa hivi mpira umehamia laboratory.msingi wa wao kushiriki ni iyo kupata mechi fitness na ndo maana wamecheza kwa kuangalia idara gani ina mapungufu warekebishe
hata nkikuuliza ww leo umegundua timu yako ina udhaifu upi hujui.
umesajili wachezaji kama wa 3 kwa ajili ya kimataifa ila hamjamwangalia chikwende na uwezo wake mmeishia kwa morison hahahaha
Walikuwa wetu? Kudominate kwa kucheza square pass zisizo na madhara kwa adui? Kuna penetration pass gani ya maana tumeipata........tulipossess ila pasi zilikuwa kwenye eneo ambalo si hatari na wao hawakuwa na pressure wakatuacha tuuchezee tu mpira,angalia tulipoongoza kilichotokea.....Noooo! Work rate yetu iliyofanya tuka dominate game ilikuwa kubwa mno ndio maana walichanganyikiwa wale. We didn't have new game plan walipobadilika! Hiyo kazi ya nani? Hawa walikuwa wetu kabisa!!
Pengine 5tenaMitano tena stars
Kwa mechi ya leo nitamlaumu tu kidogo kuto lala kidogo baada ya sisi kuongoza ili wenzake wapumue na kocha awape maelezo ya nn cha kufanyaKweli kabisa...kajitahidi sana kijana.
Ukweli ni kwamba wachezaji wa Bongo hawana vipaji vya mpira yaani tunategemea ngekewa tuu lakini wale wasenge wa Guinea wanajua mpira,walipofungwa wamecheza kimashindano wakatafuta goli wakaendelea ku relax.Lawama nyingine za kiboya sana... Wachezaji walikuwa wanabutua butua tu... Hawajui kutuliza presha ya adui... Tulipack bajaj baada ya goli la pili.. sisi mpira bado sana
Ndo vitasa tayari hivyo jifariji kwa bia tuu au tuma maombi uwe kochaMama yako akiwa kocha msaidizi wangu mambo yatakuwa murua
Mbona iko wazi kiungo chetu kilipotea hasa ndemla na fei toto walipotea hivyo tukabaki tunakaba muda wote na manura akagoma kupoozesha ngomaWakina Nchimbi walichoka walikuwa hawakabi muda wote mpira unachezewa golini kwetu kocha amekaa tu halafu yunafungwa ndio anafanya sub
Nitatuma maombi Mama yako akiwa assist coach ni mwendo wa vipensi kideoni hakuna kufungwaNdo vitasa tayari hivyo jifariji kwa bia tuu au tuma maombi uwe kocha