Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Muulize Etienne analo jibuLakini huyu Lyanga kocha alimwamini kwa kitu gani maana hata mechi na Zambia alikuwa mzigo kabisa lakini mechi zote kamweka
Why unasema hivyo ?Mkuu leo nna bahat na wewe
Only way ya kubadilisha mpira wetu ni kuwekeza kwa vijana na makocha....mie ndio maana nawakubali sana wataliano...sawa watu wanasema ligi lao sio zuri but the majority of the coaches kule ni wataliano na wanawapromote makocha wao ndio mpaka wanaweza kwenda nje ya italia na kutamba.Sio tu mpira binafsi naamini hatuna watu wenye vipaji vya soka wewe angalia marefa,makocha,wachezaji wetu nk nk wangapi wako nchi za nje kulinganisha na nchi ndogo kama Burundi na Rwanda kwa mfano?...
Umeona nilicho kiwaza kimetokea..?ushindwe na ulegee
Vipi hao wanaowekwaga miaka yote hua wanafanya nini?na kutaka kuufuta kutamponza kama hivi kuweka wachezaji hawajui hata wanataka nini uwanjani
Sasa mkuu hao vijana wanatoka wapi?kila kitu kwetu ni kuomba kudra tu!!yaani hata mambo ya kisayansi tunataka kubahatisha batisha tu!!hii nchi mpira hakuna hayo mambo ya usimba na uyanga ndio yanatutia ujinga na kuaminishwa kuwa hata timu gani ikija haitoki!!tunaendeshwa na kauli mbiu!!"ETI ZAMU HII AFE BEKI AFE KIPA, FULANI HATOKI"(slogan za kilimo kwanza)uzitumie kwenye soka!!!Tena sasa tangazo hilo apewe nugaz, daaa!!utadhania timu yenyewe ni ile brazil ya 1994!!!halafu ukitokea ukasema ukweli, utaambiwa wewe sio mzalendo!!halafu usishangae wakapokelewa kishujaa eti kutoka sale na guinea , sio mchezo!!!juzi wanajisifu eti ubora wa ligi africa ni wa 8!!sasa CHAN, timu nyingi wachezaji wao wa kutegemewa wako ligi za nje, Tz, karibu asilimia 99, ni wa hapa hapa mmeshindwa!!timu ya taifa nayo eti unatafuta balance ya wachezaji, ili isionekane ni ya upande mmoja!!utadhania labda ni nyadhifa za kisiasa, mbona congo dr, karibia asilimia 100, wametokea AS VITAR?Only way ya kubadilisha mpira wetu ni kuwekeza kwa vijana na makocha....mie ndio maana nawakubali sana wataliano...sawa watu wanasema ligi lao sio zuri but the majority of the coaches kule ni wataliano na wanawapromote makocha wao ndio mpaka wanaweza kwenda nje ya italia na kutamba.
Hapa tunatakiwa tuweke mkakati kuwa national team itafundishwa na wazawa tuu. Foreigner atakuja nchini kuwafundisha makocha lakini aio kufundisha national teams au the majority of the clubs.
Sio matola tu hata juma mgunda hakuna kitu , matola alienda na Simba Mapinduzi cup lakini simba ilikuwa inashinda kwa uwezo binafsi wabwachezaji timu haikuwa na muunganiko wowote.Exactly, unge change tech bench la hizi timu Tz ingeshinda! Hata Matola ananipa wasiwasi sana sasa
hata hii unateseka?MB3 anatamba kwenye bonanza
kombe uandae ww
kualika wageni ww
kuwalipia msoc na gharama zote ww
kujipa ratiba rahisi ww
alafu unapakia mkongo wakati wenzio wanachukulia mazoezi hahaha
mwamedi nae kakenua eti tumewakimbiza yaani nimecheka nkamkumbuka eid amini kipindi kile anashinda mashindano ya kuogelea baada ya kuwachezea faulo wenzake alafu akashangilia kweli
Hii nchi haina vipaombele ndio maana kuanzia kwenye siasa Hadi michezo hakuna tunakofanya vizuriOnly way ya kubadilisha mpira wetu ni kuwekeza kwa vijana na makocha....mie ndio maana nawakubali sana wataliano...sawa watu wanasema ligi lao sio zuri but the majority of the coaches kule ni wataliano na wanawapromote makocha wao ndio mpaka wanaweza kwenda nje ya italia na kutamba.
Hapa tunatakiwa tuweke mkakati kuwa national team itafundishwa na wazawa tuu. Foreigner atakuja nchini kuwafundisha makocha lakini aio kufundisha national teams au the majority of the clubs.
Unaweza kutoa mfano wa hiyo mikakati uliyoandika?
Unaomba kuwasilisha kwa nani? .. mwili mkubwa akili zero kama sarpong
ushindwe na ulegee
umeiangalia mechi lakini au unasikiliza redioni?
ushindwe na ulegee
Kwa hivyo umefurahui sioMzee wangu Mwinyi alimaliza kwa kusema hii timu ni sawa na kichwa cha Mwendawazimu watu wanajifunzia kunyoa.
Kutoa draw si haba. Haistahili kuwabezaUmeona nilicho kiwaza kimetokea..?
Giroud kombe la dunia alifunga magoli mangapi? Kwaajili taarifa yako bila Nchimbi na ule usumbifu wake pale mbele inawezekana tungekufa mapema tu,yes hey ndiye forward inatakiwa afunge,Ila huwezi kubeza kazi yake pale mbeleForward kuwa Nchimbi heri kocha angeweka debe la viazi kwenye namba ya Nchimbi tungejua ni viazi
Uko sahihi mkuu,sisi wachezaji wetu hawana basics na principle's za footballKuna kitu kikubwa wachezaji wetu wanakosa, Kuna kitu kinaitwa "Football intelligence" sijui neno fasaha kiswahili ni ile hali yakujuwa au kusoma mchezo kabla ya tukio. wachezaji wetu hawana hii kitu. Unajuwa kabisa unaongoza goal 2 na utakuwa umepita na unawaona wapinzani wako wanakuja speed sababu wanataka goal wanajuwa draw nzuri kwao sisi draw mbaya ndio maana tukaona baada ya kuwafunga goal la 2 tukawaona Guinea tofauti speed sasa badala ya kuwasoma hawa wana moto ngoja to slow game kwa vipasi vya maudhi na kujiangusha kufanya mambo ili wapanick ndio kwanza tukaanza kucheza ngoma yao wanapiga sebene na sisi tunacheza sebene baada ya kucheza blues, tukaanza kubutua tu wanakuja tukipata tunapiga tu kwao wanakuja tena unaona kabisa goal linakuja. Hapo ndio intelligence inaonekana slow game piga square pass huku na huku kama mnaenda mbele wakirudi nyuma tu nyinyi mnaanza kwa kipa wenu bahati tukawa kama tunacheza league zetu ukija piga tu wanakuja piga wanakuja. wakapata goal wakaanza kutuudhi kujitupa hizo ndio akili. akili hizo hazikuwa na wachezaji wetu wala kocha kuwaelekeza wabadilike. Mimi nadhani hiyo ndio tofauti kubwa sana baina ya sisi na wao. Lazima tujuwe sisi ni kama team kamili maana hatuchezi sana nje wao wale ikija team yenyewe kama kina Nabby Keita hawa wote wanakaa bench ndio ujuwe bado sana sisi.
Matola ni leseni C,hata ligi ya bongo haruhusiwi kuwa kocha mkuu......nadhani anachaguliwa kwa uzoefu wa kuwajua wachezaji wa bongo vizuriExactly, unge change tech bench la hizi timu Tz ingeshinda! Hata Matola ananipa wasiwasi sana sasa
Kwa hivyo umefurahui sio
Kutoa draw si haba. Haistahili kuwabeza