MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
- #61
hii ni waste of time. wakenya wapendavyo kujijulia sifa zao wanajua achievements walizo fanya
off my head bila kusoma
liberia
siera leone
Namibia
Saharawi islamic republic (western sahara)
South Sudan
Yugoslavia
palestine
tumechukua refugees wa kila aina hadi kutoka Rwanda, burundi, DRC... kenya kuna watu 21, 000 ambao walitorika nchi zao na hawana nchi yaani stateless people.
yaani hakuna haja ya kuongea story mingi. at the end of the day, Kenya with the little resources she has has contributed more to humanity and to the world in general than any other country in Africa.... so bitches please... hii si size yenu
The Good Country Index measures how much each of the 125 countries on the list contribute to the planet and to the human race through their policies and behaviours.
The Index attempts to measure the global impacts of national policies and behaviours: what the country contributes to the global commons and what they take away.
View attachment 351756
who's yo mama?
Eti Bussiness Insider!
😀😀😀😀😀😀
Bwahaaa Bwahaaaa!
Kama waste of time umewashwa nini kuandika?
Au ndiyo Keyboard Diarrhea?