issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Azam tv watakuwa LIVE kutoka CCM Kirumba kuanzia saa 16:00 kupitia chanel yao ya Azam two.Tv gani inaonyesha?
huenda AZAM TV Na star tvTv gani inanesha?
mechi inarushwa na azam two burudani kwa wote mnamo saa tisa na nusu alasiri ndani ya ccm kirumba mwanzaWenye taharifa hii mechi ya kirafiki itakuwa SAA ngapi na kituo gani hapa bongo kitairusha?