Tanzania vs Malawi, kutoka CCM Kirumba 29/3/2015

Tanzania vs Malawi, kutoka CCM Kirumba 29/3/2015

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
wadau,leo kuna bonge la mechi kati ya The Flames vs Taifa Stars katika dimba la CCM Kirumba Mwanza.mchezo huo ambao upo katika kalenda ya FIFA utapigwa majira ya saa kumi jioni.nitawaletea kila kitu kinachoendelea hapa dimba la CCM Kirumba Mwanza.

=================
=================


Matokeo ya Mwisho: Tanzania 1 - 1 Malawi (Mbwana Samatta | Mucium Mhone)
 
Rojaaaa kwa mara ya kwanza sitashuhudia mechi kubwa za huko nchini kama hiyo nilikuwa nimepania sana hiyo mechi lakini dahhhh

Mkuu jitahidi sana kutuletea updates za hiyo mechi lakini kwa nilivyoiona Stars kwenye mazoezi ya Alhamisi jioni tunashida bao 2 kwenye uwanja wa ccm kirumba.

Wako vizuri stars.
 
sijui hali ya uwanja itakuaje maana toka jana usiku ni mvua inanyesha hadi muda huu,,,
 
Kila la kheir Taifa stars ingawaje hawaaminiki sana hawa wanaweza kukuangusha muda wowote.....
 
Kikosi cha Taifa starz kinachoanza leo dhidi ya Flames ya Malawi;
1.Aishi Manula
2.Shomary Kapombe
3.Erasto Nyoni
4.Hassan Isiaka
5.Nadir Haroub "Cannavaro"
6.Frank Domayo
7.Mrisho Ngassa
8.Mwinyi Kazimoto
9.Juma Luizio
10.Mbwana Samatta
11.Thomas Ulimwengu

SUB_____
Mwadini Ally
Oscar Joshua
Abdi Banda
John Bocco
Salum Abubakar "sureboy"
Amri Kiemba.

Kocha mkuu-
Mart Nooij

Kila la kheir Taifa starz.
 
Wenye taharifa hii mechi ya kirafiki itakuwa SAA ngapi na kituo gani hapa bongo kitairusha?
 
Game inaoneshwa hapo
 

Attachments

  • 1427628150239.jpg
    1427628150239.jpg
    79.4 KB · Views: 501
Kikosi cha Taifa starz kinachoanza leo dhidi ya Flames ya Malawi;
1.Aishi Manula
2.Shomary Kapombe
3.Erasto Nyoni
4.Hassan Isiaka
5.Nadir Haroub "Cannavaro"
6.Frank Domayo
7.Mrisho Ngassa
8.Mwinyi Kazimoto
9.Juma Luizio
10.Mbwana Samatta
11.Thomas Ulimwengu

SUB_____
Mwadini Ally
Oscar Joshua
Abdi Banda
John Bocco
Salum Abubakar "sureboy"
Amri Kiemba.

Kocha mkuu-
Mart Nooij

Kila la kheir Taifa starz.
 
Kwann TBC hawaonyeshi wakati ni timu ya taifa na hii ni TV ya taifa
 
Wenye taharifa hii mechi ya kirafiki itakuwa SAA ngapi na kituo gani hapa bongo kitairusha?
mechi inarushwa na azam two burudani kwa wote mnamo saa tisa na nusu alasiri ndani ya ccm kirumba mwanza
 
Mechi kama hizi pamoja na kuangalia ushindi zitumike kuwapa uzoefu wachezaji wengine. Ndio maana ya International Friendly. Angalau angewaanzisha watatu ambao ndio wanaanza kuchezea Taifa Stars.
 
Back
Top Bottom