Tanzania vs Malawi, kutoka CCM Kirumba 29/3/2015

strategy za kuingia lango la Malawi ni btu sbb mabeki wao ni warefu
 
SHUTI LA mBWANA sMATA LINAPANGULIWA NA KIPA
 
dk 17 shomari ka[ombe anakosa kuunganisha krossi ya chanongo
 
Taifa stars inacheza mpira wa ajabu! Wanabutua butua tu juu.
 
Nje kidogo ya 18, chanongo anaangushwa chini, faulo kwa starz, maeneo kama haya kwa Yaya Toure ni kama penati
 
Channgo anajiuguza mkono wa kushoto na huenda amegongwa sana
 
Mark Donald Arawa anapangua shiti la Ulimwengu
 
uwanja una viunga kadhaa vyenye madimbwi ya maji
 
timu zote zinacheza kwa kuigana na hovyo kufanya possesion kuwa 50/50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…