Tanzania vs Palestine

Palestine tayari wapo uwanjani wanapashapasha na bendi ya polisi kama kawaida wapo tayari kuchukua nafasi endapo cd ya wimbo wa taifa itagoma
 
Tupe line-up ya Taifa Stars kama umeshainyaka mkuu.
 
Ngunguri tunashukuru endelea kutujuza
 
Line up bado sijaipata. Stars nao wameingia uwanjani kupasha wapo akina kaseja, kado nsajigwa, ngasa n.k
 
idadi ya watu vipi?

Watu si wengi sana ingawa bado wanaingia kwa rate ndogo sana. Kwa wastani naweza sema theluthi moja ya uwanja ndo imekuwa covered
 
Watu si wengi sana ingawa bado wanaingia kwa rate ndogo sana. Kwa wastani naweza sema theluthi moja ya uwanja ndo imekuwa covered
watu wamezarau mechi ya palesitina
 
kado, nsajigwa, jabu,nadir, aggrey, nditi, ngasa, jabir, tegete, boko,chombo
 
Timu zimeingia uwanjani na nyimbo za taifa zinapigwa
 
Jamani hakuna timu nyingine za kucheza nazo mpaka tucheze na Wapalestina? Maana wanaweza kutuletea mambo ya "Black September" hapa!
 
Njasigwa nusura awazawadie goli palestina, alimrudishia kipa mpira na jamaa wa palestina akaunasa
 
yeyote mwenye kufahamu link ambayo inaonesha hii game live,plsssssss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…