Tanzania vs Palestine

Tanzania vs Palestine

kado, nsajigwa, jabu,nadir, aggrey, nditi, ngasa, jabir, tegete, boko,chombo
kwa mjibu wa matangazo ya Kiss FM Mgossi yuko ndani na wewe unatuambia mgosi hayuko vipi mkuu
 
hali inaendeleaje huko, mbona kimya au ndio tumezidiwa....
 
Bado hatuna timu ya ushindani, tuna timu ya kucheza tu. Winning will be bonus to tz
 
Half time bila bila. Mashabiki wanamzomea boko.
 
yaani hata hao vibonde wenzetu nao wanatupa tabu, kazi bado ni kubwa......
 
Aah minaona hii gemu haina ata mvuto
 
hii game naona itakuwa ka mechi ya maharage uwanja wa biafra....
 
Kwani hao jamaa wanafanya mazozi muda? maana kila wakati ni timbwili la Asha Ngedele na waizaraeli.
 
Kipindi cha pili kinaanza shamte anaingia badala ya nsajigwa
 
redondo nafasi yake inachukulilwa na banka
 
kuna uwezekano mkubwa hakuna hata Tv channel moja ya bongo inayoonyesha, bado vipindi vyao ni vilevile vya Isidingo, poor Tz.
hamna wadhamini...au unataka wafanye charity work?
 
Ngasaaaaaaa, one nil to host
 
mrope anaingia badala ya ngasa
 
hamna wadhamini...au unataka wafanye charity work?

ni kweli mkuu? kwa hiyo wadhamini wa vipindi vingine wapo ila kuonyesha mpira wa timu ya taifa hawapo, kwa ujumla program nzima haijajipanga vzr kuanzia hivyo vyombo vya habari mpaka tff.
 
Back
Top Bottom