naona umeanza kuuguza majeraha,Kenya hamna rangi mtaacha kuona lazima mtote.
Nyinyi dhaifu sana hata Ingekuwa ndio mnacheza saivi mngeshapigwa 4naona umeanza kuuguza majeraha,
tulia babaaa sindano ikuingie, ya Kenya hiwezani nayo!Nyinyi dhaifu sana hata Ingekuwa ndio mnacheza saivi mngeshapigwa 4
Wa Algeria unawajua wewe? Wana club yao inaitwa marijuana ni fire hatari na ndio wote humo national team, anyway ngoja tuonetulia babaaa sindano ikuingie, ya Kenya hiwezani nayo!
Mistakes za ujinga sanaVijana wetu wanafanya school boy errors nyingi
Tanzania all the way.Watani leo tuweke upinzani wa jadi pembeni tuungane mkono. Tuanze kuishangilia Tanzania then baadae tuishangilie Kenya
East Africa baby!