Tanzania Vs Senegal....Kenya Vs Algeria..

Tanzania Vs Senegal....Kenya Vs Algeria..

Nawapenda wakenya ndio wameonyesha undugu haswaa.. Asanteni kwa kushirikiana na sisi bega kwa bega. Huo ndio umoja tunaotafuta. Game yetu tutoe sare at least tutoke na point moja moja. Kenya hureeeee
 
Ni Sawa na Yule baunsa aliyechoropoka na toka Vichakani akijisifu na kujipiga kifua akisema,
‘wamenifira ila kwa mbinde kweli?

Hahahaha, Mkuu ukifirwa umefirwa tu, Whether kirahisi ama kwa ugumu. Kifiro ni kilekile
Wewe tuhurumie Bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila tungetoka Sare na Algeria mgehama jamii forums aki yanani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeelewa alichokiandika mwenzako
Ni Sawa na Yule baunsa aliyechoropoka na toka Vichakani akijisifu na kujipiga kifua akisema,
‘wamenifira ila kwa mbinde kweli?

Hahahaha, Mkuu ukifirwa umefirwa tu, Whether kirahisi ama kwa ugumu. Kifiro ni kilekile
 
Africa's Top 10 on December's Fifa rankings (global position in brackets):

  1. Senegal (23)
  2. Tunisia (26)
  3. Morocco (40)
  4. Nigeria (44)
  5. DR Congo (49)
  6. Ghana (51)
  7. Cameroon (55)
  8. Egypt (56)
  9. Burkina Faso (61)
  10. Mali (64)
 
Tanzania 132
 
Back
Top Bottom