Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uganda wapo East Africa usisahau[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaaani ni full kupulizwakenya wanapigwa paipu uko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo hela unaikosa mkuu, ungewekaNimebet AlG 3-0 KEN
First Half: 2Nil
Sec Half: 1Nil
Naona mambo yanaenda hivohivo
Hahaha uchumi wa kati Leo hauonekani [emoji23][emoji23][emoji23]Wale nyang'au leo hawaonekani hapa na majigambo yao ya uchumi wa kati; duh aisee.
Nasubiri nione possession, mijamaa inapiga pass 30 bila kuonana hao WakenywaHahaha uchumi wa kati Leo hauonekani [emoji23][emoji23][emoji23]
Uchumi wa kuongezea AntennaWale nyang'au leo hawaonekani hapa na majigambo yao ya uchumi wa kati; duh aisee.
Waonee huruma jamaa yanguHiyo hela unaikosa mkuu, ungeweka
Algeria 6 - 0 Kenya
1st half 2
2nd half 4
Wanapakwa upupu kisawasawa, midomo imewavimbaWakenya mnamidomo sana wacha mpakwe dawa sawasawa [emoji23][emoji23][emoji23]
Taarifa ya matokeo iko vipi game ya wazito, vipi hata possession ikojeUtoke all the way from Tanzania, uende Total#AFCON2019u posses 39%
![]()
Ukule four (4 ) yellow cards na zero shot on target![]()
![]()
![]()
. Aibu tupu![]()
![]()
![]()
Thankyou for participating anyway![]()
. Tungoje Derby, game ya wazito...![]()
Duuh sasa hawa ndugu zetu watakula ngapi? Naona Otieno hapa super sport kanyong'onyea kawa mpole mbwembwe zote kwisha..
Wakenya mnamidomo sana wacha mpakwe dawa sawasawa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha yani raha sana.Nasubiri nione possession, mijamaa inapiga pass 30 bila kuonana hao Wakenywa
Kama sijakosea ilikua 2004.Hivi Kenya wameshiriki lini mara ya mwisho haya mashindano?