Tanzania Vs Superstar

Tanzania Vs Superstar

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Kwa wanaofuatilia Amapiano watakuwa wamesimkia Uncle Waffles....He is a South African Amapiano artist....

Ana track yake inaitwa Tanzania....Tanzania ni club iliyopo Jozi. Sababu za kuiita track Tanzania ni kutokana na kufungulia hadi kipindi cha COVID kama ilivyokuwa Tanzania.

Juzi kati Mondi katoa wimbo na Stitch....cha ajabu vionjo vinafanana kabisa. Sawa naelewa hakuna jambo jipya kwenye Muziki lakini kwa ukubwa wa Diamond anatakiwa ajiepushe na hili. Yeye ndiye anyetakiwa kukopiwa na sio Tofauti.
 
Kwanza huu wimbo sio wa Diamond ni wa Costa, Diamond hajaachia wimbo toka February alipoachia FOA.

Ebu tueleze alichokopi ni nini?
Oouhh, hadi mistari aliyoimba Diamond ni ya Costa?
 
Brother sehemu gani na mstari upi? Nimesikiliza mara mbili.

Kuhusu mdundo midundo ya amapiano karibia yote inafanana,utofauti naonaga unakuwa sehemu ndogo sana.
Kuna vionjo mwisho wa Waffles na Diamond sikiliza.....
 
Kuna vionjo mwisho wa Waffles na Diamond sikiliza.....
Nimeusikiliza huu wimbo mwanzo mwisho na sijaona na ndio maana hata wae mahaters wa Diamond kwenye social networks wapo kimya kuhusu huu wimbo, manake wanaandaaga mpaka sessions huko.

Beat za amapiano karibia zote zina ufanano kwa 50-70%,hizo zilizobaki ni vionjo tu basi ila kwa hiyo nyimbo sijaona bado
 
Sizungumzii beats kufanana..... nazungumzia kionjo cha Diamond baada ya verse yake....

Hawasikilizi nyimbo zetu naplay stations za SA 24/7 ukibahatika kusikia track ya Tz basi unabahati saana....ndiyo maana zinahit hapa nyumbani na huwezi ukaziskia zimefika kwao.

Alichofanya Dai ni sawa na alichokifanya Ney kuchukua neno waka waka na kulitumia vivyo hivyo....unahitaji kuwa na sikio la muziki kusikia.

beats za Amapiano hazifanani...labda unashindwa kuzitofautisha tu.....yanatumia mapigo sawa ila kila zipo Tofauti kwenye mambo mengine.
 
Brother kile kipande cha mwisho Diamond alikuwa kama anascratch kwa mdomo, sijakisikia humu mimi.

Kuhusu nyimbo za kibongo kutokihit inafahamika, ila dogo mara nyingi anatafutaga induction na mara nyingi zinamkubali.
 
Oouhh, hadi mistari aliyoimba Diamond ni ya Costa?
Kwa hiyo mistari ya Diamond na huo wimbo wa TANZANIA vinafanana? Je vinafanana kitu gani manake nimerudia kusikiliza mara kadhaa sioni kufanana kwake.
-Ni kweli huo wimbo Diamond ameshirikishwa tu, ku-force kupata sehemu ya kumuangushia Diamond zigo la lawama imefikia mpaka vinaanza kulazimishwa kufananishwa vitu ambavyo hata havifanani.
Kuna ubaya gani kama wimbo umekopiwa ungemlaumu moja kwa moja mmiliki wa wimbo husika?
 
Back
Top Bottom