Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Kwa wanaofuatilia Amapiano watakuwa wamesimkia Uncle Waffles....He is a South African Amapiano artist....
Ana track yake inaitwa Tanzania....Tanzania ni club iliyopo Jozi. Sababu za kuiita track Tanzania ni kutokana na kufungulia hadi kipindi cha COVID kama ilivyokuwa Tanzania.
Juzi kati Mondi katoa wimbo na Stitch....cha ajabu vionjo vinafanana kabisa. Sawa naelewa hakuna jambo jipya kwenye Muziki lakini kwa ukubwa wa Diamond anatakiwa ajiepushe na hili. Yeye ndiye anyetakiwa kukopiwa na sio Tofauti.