Kwanza huu wimbo sio wa Diamond ni wa Costa, Diamond hajaachia wimbo toka February alipoachia FOA.
Brother sehemu gani na mstari upi? Nimesikiliza mara mbili.Oouhh, hadi mistari aliyoimba Diamond ni ya Costa?
Nimeusikiliza huu wimbo mwanzo mwisho na sijaona na ndio maana hata wae mahaters wa Diamond kwenye social networks wapo kimya kuhusu huu wimbo, manake wanaandaaga mpaka sessions huko.Kuna vionjo mwisho wa Waffles na Diamond sikiliza.....
Sizungumzii beats kufanana..... nazungumzia kionjo cha Diamond baada ya verse yake....Nimeusikiliza huu wimbo mwanzo mwisho na sijaona na ndio maana hata wae mahaters wa Diamond kwenye social networks wapo kimya kuhusu huu wimbo, manake wanaandaaga mpaka sessions huko.
Beat za amapiano karibia zote zina ufanano kwa 50-70%,hizo zilizobaki ni vionjo tu basi ila kwa hiyo nyimbo sijaona bado
Brother kile kipande cha mwisho Diamond alikuwa kama anascratch kwa mdomo, sijakisikia humu mimi.Sizungumzii beats kufanana..... nazungumzia kionjo cha Diamond baada ya verse yake....
Hawasikilizi nyimbo zetu naplay stations za SA 24/7 ukibahatika kusikia track ya Tz basi unabahati saana....ndiyo maana zinahit hapa nyumbani na huwezi ukaziskia zimefika kwao.
Alichofanya Dai ni sawa na alichokifanya Ney kuchukua neno waka waka na kulitumia vivyo hivyo....unahitaji kuwa na sikio la muziki kusikia.
beats za Amapiano hazifanani...labda unashindwa kuzitofautisha tu.....yanatumia mapigo sawa ila kila zipo Tofauti kwenye mambo mengine.
Kwa hiyo mistari ya Diamond na huo wimbo wa TANZANIA vinafanana? Je vinafanana kitu gani manake nimerudia kusikiliza mara kadhaa sioni kufanana kwake.Oouhh, hadi mistari aliyoimba Diamond ni ya Costa?