Tanzania VS Uganda

Kilakshari

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2008
Posts
350
Reaction score
20
"TUNAJUA matokeo yetu yamewanyong'onyesha Watanzania, hatutawaangusha tena,
tutaifunga Uganda na kufuzu nusu fainali," hiyo ni kauli ya nahodha wa Taifa Stars, Shadrack Nsajigwa akizungumzia mchezo wa leo na kunukuliwa na gazeti la Habari leo.
Mchezo huo utaonyeshwa kwenye intanet kwa kutumia anuani ya mtandao ifuatayo:

MyP2P.eu :: Football schedules, watch live Football on your pc.
 
Tupo pamoja kaka I am a die hard Arsenal, Newcastle and Taifa Stars fan inshallah tutashinda 2-1
 
Duh dakika 5 za mwanzo tunachezewa nusu uwanja hawa Uganda wamepania kushinda hasa ukizingiati mshindi anakula dola 120k
 
Dakika ya 20 bado 20-20 naona tumeanza kuwamudu na tunamiliki mpira fresh hasa kwenye dimba la kati wanatia matumaini
 
Shadrack anajituma saana. Ila tumezidiwa.
 
Namuona kama Said Maulid ndani duh jamaa kaitwa huyu SMG huwa namkubali sana nadhani anacheza soka la kulipwa kule Mos
 
Mbona wanabutua tuu. Yaani hamna pasi kabisa.
 
Huyu Mohammed Abdallah anachezea timu gani maana anawasumbua kweli waganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…