Jamani matokeo vipi mpaka sasa na ni dakika ya ngapi?
Dakika ya 70 bado tunaongoza 1-0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani matokeo vipi mpaka sasa na ni dakika ya ngapi?
staz wamezidiwa katikati ya kiwanja ndio maana uganda wanatushambulia sana, kwa mchezo huu wanaweza kusawazisha beki itachoka
Shit....Duh wamerudisha kwa kona 1-1
Hivi tukishinda tunasonga mbele?
Duh wamerudisha kwa kona 1-1
Crosses huwa zinaisumbua sana stars & makipa wetu ku'defend'