Tanzania VS Uganda

Tanzania VS Uganda

staz wamezidiwa katikati ya kiwanja ndio maana uganda wanatushambulia sana, kwa mchezo huu wanaweza kusawazisha beki itachoka

Labda ni game plan .. Maurinho's defensive approach
 
dakika ya ngapi jaman..presha inapanda na kushuka!!
 
Hivi tukishinda tunasonga mbele?

Itategemea matokeo ya Burundi na Egypt - If Burundi wins then hatusongi mbele otherwise If burundi loose and we win the we are through!
 
Lahaulah, basi bwana ila waganda walistahili goli wametushambulia sana kwa muda mrefu na wamemiliki mpira but bado muda unaruhusu tunaweza kupata goli la ushindi
 
Waganda we-hit post! Makosa ya kipuuzi ya Kipa kha!
 
kaseja anarusha anambabatiza refa mchezaji wa uganda anakosa goli la wazi
 
dakika ya 83 pamoja na kwamba mpira unadunda ila staz hawana dalili za kupata bao, sijui kwa kweli tumezidiwa jamani, naona hata machine zimeanza kuchoka
 
jamani kwaherini....ngoja mi niwahi nkapate moja moto moja baridi...kabla game haijaisha... nipretend kama vile nlikuwa sijui kama stars wanacheza na wala sikuwa nafuatilia
 
Back
Top Bottom