Kilakshari
JF-Expert Member
- Dec 13, 2008
- 350
- 20
hii mechi inaonyweshwa live online? naomba mnijuze wadau! Asanteni sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii mechi inaonyweshwa live online? naomba mnijuze wadau! Asanteni sana!
Duh yale yale 2-1 tatizo ni wachezaji au tatizo ni kocha kuwaacha wachezaji wenye vipaji na kusingizia nidhamu?
Laana za Kaseja na Athumani Iddi zinafanya kazi yake vema.
Ndo hivyo tena,
Tulitunguliwa 2 - 1 na Yemen.
Bao la kwanza la Yemen lilifungwa dakika ya 13 kipindi cha kwanza na mchezaji Tamer Hanash kwa mkwaju wa penati. Baadae Taifa Stars wakasawazisha dakika ya 34. Haikuchukua hata muda Yemen wakaongeza la pili dakika ya 37.
Lakini kipindi cha pili stars walionekana kusimama kidete na wangetumia vema nafasi walizozipata basi wangeweza kusawazisha na kulazimisha sare ya 2 kwa 2, mambo hayakuwa hivyo na wakalala 2 - 1 mbele ya Yemen.
Yaani inaboa mkuu na kutia aibu vibaya mno coz kuna rafiki zangu raia wa Yemen tupo nao hapa hata kuongelea juu ya hilo nashindwa coz timu yao ipo chini kisoka ila wanatubuluza tu, na wao sasa wameshajua mahali gani pa kupandia kwenye viwango vya FIFA, wakitaka kupanda tena au kujiweka pazuri watamuita tena kibonde wao wamchambue, duh kweli hii timu bado ni kichwa cha mwendawazimu!!Ha ha ha nilikuwa nachek position ya YEMEN ktk rank za FIFA nikakuta ni 139 na TZ ni ya 99.
Mshaambiwa tatizo si Maximo, tatizo ni vyombo vya habari... Sijui vinacheza au kufundisha soka?Yaani inaboa mkuu na kutia aibu vibaya mno coz kuna rafiki zangu raia wa Yemen tupo nao hapa hata kuongelea juu ya hilo nashindwa coz timu yao ipo chini kisoka ila wanatubuluza tu, na wao sasa wameshajua mahali gani pa kupandia kwenye viwango vya FIFA, wakitaka kupanda tena au kujiweka pazuri watamuita tena kibonde wao wamchambue, duh kweli hii timu bado ni kichwa cha mwendawazimu!!
si aliletwa na JK labda wanaogopa kumtimua teh teh..Timu tumeipa support ya khari na mali lakini bado inacheza utumbo...kocha hana first eleven kwa miaka mitatu...ngoja chaleji inakuja sijui watatoa sababu gani tukishindwa kulichukua kombe...Mshaambiwa tatizo si Maximo, tatizo ni vyombo vya habari... Sijui vinacheza au kufundisha soka?
acheni utani jamani mpaka yemen wametufunga?
hii kali mkuu na inaacha maswali mengi sana.Swali langu la kwanza lilikuwa ilo.
kwa hiyo kaseja akirudi, taifa stars itashinda?hivi washabiki tukiamua kugomea kwenda kutizama mechi za taifa stars zote mpaka hapo Kaseja ataporudishwa inama hatutosikilizwa na TFF?
hii kali mkuu na inaacha maswali mengi sana.