Tanzania vs Zimbabwe | Live Streaming Link

Tanzania vs Zimbabwe | Live Streaming Link

Hawa Azam nao wakati mwingine hawaeleweki! Jana mechi ya kirafiki kati ya Ivory Coast dhidi ya Uganda mlituonesha! Leo timu yetu ya Taifa inacheza, hamuoneshi!
 
Mi nasikitika na tbc, wanaonyesha Rita talk show
Tusubiri kuchek youtube kesho
 
Back
Top Bottom