Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PumbavuMatokeo stars anaongozwa 3-0
Pumbavu nani sasa;Stars au aliyepost matokeo haya?Pumbavu
WotePumbavu nani sasa;Stars au aliyepost matokeo haya?
Ya nini wakati mpira umekwishaHakuna link leo
bado, tupe linkYa nini wakati mpira umekwisha
Link sna ila dk 87 1-1bado, tupe link
Nasikia wameghairi.Au hawachezi?
Ft 1-1 samatamatokeo vipi?
Mi naona hao TBC ni bora wasionyeshe kabisa mpira wanaweza kukata matangazo katikati ya utamu ili wajiunge na mwenye nchi yake kisa tu anaongea na wauza samaki feri.Wanazingua hao hakuna kitu,
Ila nchi hii tunasafari ndefu sana kwakweli! Yaan lichanel la TBC kazi ya kurusha mambo ya chama tu hovyo kabisa
Ft 1-1 samata
Natamani kujua kikosi kilipangwaje na subs zilikuajeMpaka mwisho, ni 1:1