TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Tumeanza vizuri....kamati za ufundi za Timu zimejipanga hasa. Uhoni mpaka muda huu haujaona clip ya mechi ya jana hujiulizi? Viongozi wa Timu wako makini....! Tutaishangaza Afrika na Ulimwengu.Natamani kujua kikosi kilipangwaje na subs zilikuaje