Tanzania: Vyombo vya habari vyakabiliwa na mapato duni

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829

Vyombo vya Habari Nchini Tanzania bado vinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazo pelekea kushindwa kumudu gharama za uendeshaji na maslahi duni kwa wafanyakazi.

Pia vinakabiliwa na changamoto ya mrundikano wa kodi za usajili huku serikali ikiahidi kuwa mwaka 2023 itasimamia uchumi wa vyombo vya habari pamoja na maslahi ya waandishi.

Mishahara midogo, ukosefu wa bima za afya na pensheni kwa waandishi wa habari vinaripotiwa ni moja ya manung’uniko ya muda mrefu licha ya ahadi kutolewa na watawala wanapo kuwa katika majukwaa ya kisiasa.

Kutoshirikishwa katika mipango endelevu ya taifa imekuwa ni chanzo kwa vyombo vya habari kutokuwa na mapato mazuri hasa kwa vyombo ambavyo vinarusha matangazo yake ndani ya mkoa.

Mmoja wa wadau wa habari na msimamizi wa kituo cha radio cha Hidaya fm Ally Zumo kutoka Kigoma anasema juhudi zaidi zinahitajika kwa vyombo vya habari kujikwamua kiuchumi hasa vinapokabiliwa na mrundikano wa kodi.

Wadau wa habari wanaeleza maslahi ya waandishi wa habari hayawezi kuimarika ikiwa hali ya uchumi katika vyombo hivyo haijapatiwa ufumbuzi na pia kuna suala jingine la ukosefu wa matangazo ambayo ni moja ya mhimili wa vyombo vya habari kuwa na pato la kuendesha shughuli zake.

Hasani Yusufu msimamizi wa radio Iqra fm ya jijini Mwanza akizungumza na Sauti ya Amerika anasema licha ya kuandika miradi mingi ya kuomba matangazo ili kuendesha radio lakini bado kumekuwa na hali ya kutokuthaminiwa na kujiona kama wanadharaulika ukilinganisha na radio kubwa zenye majina.

Hata hivyo waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Mwaka 2023 serikali itaweka nguvu za kutosha kwenye suala la maslahi ya waandishi wa habari na uchumi wa vyombo vya habari ikiwemo mikataba ya wana habari ili kuongeza ari katika utendaji wao.

Ally Zumo anasema waziri Nnape ana kazi kubwa ya kufanya kutekeleza aliyoyaahidi na kuweka matumaini makubwa kwa wanahabari.

SOURCES VIA VOA
𝚙𝚞𝚋𝚕𝚒𝚜𝚑𝚎𝚍 �𝙵𝚎𝚋𝚛𝚞𝚊𝚛𝚢 2023
 
Hivi unataka uniambie wale wafanyakazi wa Azam TV, ZBC 2 na TBC1 hawana pension na pia hawana bima za afya na wanalipwa mishahara midogo ?
 
Ndio maana kwa Sasa vimejikita kwenye kutangaza beting tu
 
Vyombo vya habari viwatangaze watu ambao ni newsworthy,people who have something to say,people who have something to teach. Sio hao watu wanaotoa rushwa kuwa katika airwaves.
 
Vyombo vya Habari Nchini Tanzania bado vinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazo pelekea kushindwa kumudu gharama za uendeshaji na maslahi duni kwa wafanyakazi.

Pia vinakabiliwa na changamoto ya mrundikano wa kodi za usajili huku serikali ikiahidi kuwa mwaka 2023 itasimamia uchumi wa vyombo vya habari pamoja na maslahi ya waandishi.

Mishahara midogo, ukosefu wa bima za afya na pensheni kwa waandishi wa habari vinaripotiwa ni moja ya manung’uniko ya muda mrefu licha ya ahadi kutolewa na watawala wanapo kuwa katika majukwaa ya kisiasa.

Kutoshirikishwa katika mipango endelevu ya taifa imekuwa ni chanzo kwa vyombo vya habari kutokuwa na mapato mazuri hasa kwa vyombo ambavyo vinarusha matangazo yake ndani ya mkoa.

Mmoja wa wadau wa habari na msimamizi wa kituo cha radio cha Hidaya fm Ally Zumo kutoka Kigoma anasema juhudi zaidi zinahitajika kwa vyombo vya habari kujikwamua kiuchumi hasa vinapokabiliwa na mrundikano wa kodi.

Wadau wa habari wanaeleza maslahi ya waandishi wa habari hayawezi kuimarika ikiwa hali ya uchumi katika vyombo hivyo haijapatiwa ufumbuzi na pia kuna suala jingine la ukosefu wa matangazo ambayo ni moja ya mhimili wa vyombo vya habari kuwa na pato la kuendesha shughuli zake.

Hasani Yusufu msimamizi wa radio Iqra fm ya jijini Mwanza akizungumza na Sauti ya Amerika anasema licha ya kuandika miradi mingi ya kuomba matangazo ili kuendesha radio lakini bado kumekuwa na hali ya kutokuthaminiwa na kujiona kama wanadharaulika ukilinganisha na radio kubwa zenye majina.

Hata hivyo waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Mwaka 2023 serikali itaweka nguvu za kutosha kwenye suala la maslahi ya waandishi wa habari na uchumi wa vyombo vya habari ikiwemo mikataba ya wana habari ili kuongeza ari katika utendaji wao.

Ally Zumo anasema waziri Nnape ana kazi kubwa ya kufanya kutekeleza aliyoyaahidi na kuweka matumaini makubwa kwa wanahabari.

SOURCES VIA VOA
𝚙𝚞𝚋𝚕𝚒𝚜𝚑𝚎𝚍 �𝙵𝚎𝚋𝚛𝚞𝚊𝚛𝚢 2023
Acha wateseke, wanafiki na wambea wakubwa. Hushikia bango udaku na umbea badala ya matatizo halisi ya jamii na Taifa.

Wanakomaa na mwalimu kumpiga mwanafunzi badala ya kuandika ufisadi unaofanywa na baadhi ya viongozi kisa hupewa bahasha kutangaza mema tu ya viongozi hao.
 
Back
Top Bottom