Tanzania wacheni propaganda. Michele Obama and kids are in USA. Obama is in Kenya

Kwani tena kuna wajaluo huko Tanzania?
 

Ahaaa haaa haaa
Umenifanya nicheke sana. Eti makombora ya kienyeji.
 
Whether Obama stayed in Tz for a day but was here and his family before visited Kogelo even during office he visited Tz before Kenya this is not propaganda take Understood !
 
Halafu ninyi waongoza watalii wa bongo niny!!!!? wageni maarufu wanakuja ninyi ndio mnaonana nao sisi tunasikia tuu kweny mitandao mara walikuja kimyakimya........sasa huwa naangalia baadhi ya clip zenu.....kwanini mnawaimbia wimbo wa Kenya?? Jambo!Jambo Bwana! Habari gani!! nzuri sana... huu wimbo unaitofautisha Tanzania na nchi jirani? mbona tuna njimbo kibao tuu za kuitangaza na zenye asili ya Tanzania 1)Mbuga za wanyama TANZANIA yakwanza ni Serengeti.......) 2. Kilimanjaro, kilamanyaro,nimlima mrefu..... 3.) Tanzania tanzania nchi yenye mali nyingi watu wengi wa ulaya.......) 4. Tanzania Tanzania......nakupenda kwa moyowote......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…