Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Sasa wewe si mzee, ukishastaafu automatically uko isolated.

Wewe endelea tu kujichanganya ukingoja mpaka uwe isolated kwa fimbo. Kondoo mnajulikana, hamuendi bila mchungaji au mbwa wa kuwaongoza.
 
"Wagonjwa wote waliyobaki (131) hali zao ni nzuri isipokuwa Wagonjwa 4 wanapatiwa matibabu ya Wagonjwa mahututi kutokana na kusumbuliwa na matatizo mengine ya kiafya."
 
Miluzi mingi huwa inampoteza mbwa.....
Kwa taarifaa zisizo rasmi wanasema Corona inashika Kasi kweny haya maeneo hapa jijini dar es salaam.....
Bunju, Boko, Mbezi beach, Masaki.

Nakumbuka MIAKA kadhaa iliyo pita Kuna Documentary ya WAISLAM,
Kuna shehe,
Mmoja wa hapa Tanzania alitoa hii documentary AKIELEZEA FREEMASON,
KUTENGENEZA UKIMWI WA HEWA.....
Sasa huu ndio UKIMWI unao enezwa kwa hewa.
Wasalam,
 
Tusiwe na taharuki, Virusi Aina DNA baadhi tumekua tukitumia dawa ya acyclocir Kama broad spectrum ant viral.

Kwa sasa tuna kirus Aina ya RNA hivo basi dawa Aina ya Remdesvir ipo kwenye majaribio na inatia matumaini

Remdesvir ni nucleotide analogue- to be specific ni adenosine analogue

Acyclocir ni nucleoside analogue, so logic hapa ni kwakua acyclocir tangu mwaka 1974 imekua mkombozi Kama broad spectrum ant viral Kwa Virusi Aina ya DNA, basi Remdesvir itasaidia kuinterupt premature termination ya kirusi Covid19 ambacho ni Aina ya RNA

Kwa logic hiyo basi binafsi nipo hopeful ndani ya miezi 6 vita hii tutaishinda.

Natanguliza Samahani Kwa usumbufu utakao jitokeza kutokana na maneno ya kitaaluma yaliotumika.
 
Nchi haina dini lakini raia wake wana dini. Unaelewa maana ya dua fupi kabla vikao vya bunge havijaanza?.

Unaelewa maana ya sala fupi kutoka kwa viongozi mbalimbali wa dini kabla rais hajaanza mikutano yake?.

Jitahidi usome haya mambo kwani ni mapana sana.
 
Uzuri wa Mwenyezi Mungu huwa hapotezi muda wake Kusikiliza Maombi ya Kinafiki kutoka kwa Mwamba wa Unafiki nchini.
Pia uzuri wa Mwenyezi Mungu hapotezi muda wake kupokea rushwa za kumsifu na pia mnafiki na asiye mnafiki anajua yeye.
 
Hakimu Mfawidhi,
Hello mkuu hatuwezi fika peak kama hamuna lockdown.

Kama tutaendelea hiv kufika peak maana wote tuwe tutest positive na covid 19

Peak itafikiwa with or without lockdown, testing, etc etc Tatizo ni ukubwa wa madhara ya ugonjwa baada ya pandemic kupita.
 
Mungu wako ni tofauti na yule wa Waitaliano?

Tujiongeze
Mbona mna argument za ajabu ajabu sana? Mtu akisema au kuiombea Tz mnalinganisha na Waitaliano kwani wao ndo reference? Tuna refer Bible hta kama baadhi ya waandishi walitokea huko. Wanaweza wakawa wametuletea dini na sisi tukaipokea na tukaomba kivyetu kwa imani yetu na Mungu akatuponya kwa imani yetu. Kwa hyo msikariri kila mtu anakuja na sentensi moja hata kusumbua akili na kufikiria hakuna. Kila mtu anaomba kwa imani yake binafsi. Ndo maana hata yule kipofu alieoponywa na Yesu aliambiwa Imani yako imekuponya so suala la Imani sio suala mtambuka ni personal. So kila mtu akiomba kwa Imani yake tutupona Mungu atatusikia.

Na hapa tukisema tusali au mtu asali sio ndo kwamba watu wanaacha kutake precautions. Kama mimi sijaenda kanisani au kwenye mikusanyiko ya aina yoyote toka ugonjwa utangazwe kuingia nchini lakini sio kwamba siombi kwa Mungu anilinde huku naendelea kujikinga. Hata huko Italia wanaomba kwa wakati wao acha sisi pia tuombe
 
We jamaa kumbe ni mjinga ehee!
 
Kama hao wanaojitosheleza wakiamua kukaa ndani hao wasikini watapata hizo kazi za kuwapatia kipato?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…