Safari hii naona kma mwamko ni mkubwa zaidi sababu hakubaliki sio kwa wazee,watoto au vijana.Naanza kuamini kweli kuna anguko.Samia na wenzake (GENGE) hayo ya "kuombea" hana habari nayo; vinginevyo usinge hangaika na mada yako hii hapa.
Hiyo ndoto yako ndilo tumaini pekee lililo mikononi mwa wananchi kuiokoa nchi yako hii inayo naksiwa na hawa watu ambao hawana ubinaadamu hata chembe ndogo tu.
Ili kuepusha umwagaji wa damu ya waTanzania; muhimu sana waTanzania wasiipoteze fursa hii ya kukataa utawala ulio laanika huu.
Kubaki nyumbani na kutokwenda kupiga kura ni kuepusha umwagaji wa damu isiyo kuwa na hatia.
Hakuna polisi atakayekuja nyumbani kukupiga risasi kwa kutokwenda kituoni.
Bora zaidi; ungana na waTanzania wenzako kuzuia uchafuzi; kama alivyo eleza mleta mada hapa katika ndoto zake.
Ni fursa ya kipekee kabisa kwa nchi yetu kuwaondoa waovu hawa bila ya kuwapa nafasi ya kutuua kwa mitutu ya bunduki; kama wanavyo tuhimiza kila mara tutoke kwenda kuandamana, ili wapate nafasi ya kumwaga damu yetu.
Hivi mkuu, kipindi hiki uko upande gani? Maana kwa kujizima data nakukubali sana.Sala muhimu maishani dini zote tunasali, Inshallah.
Ila je, haiwezi kuwa mawazo yako ulipolala yamejiweka kwa picha ya mnato...
na wewe ukiotaga ndoto zinatokeaje kimwili?
Mkuu una maanisha nini kusema "Israel wenyewe"Israel wenyewe linapokuja swala la kutetea na kurinda nchi yao hawana muda na maombi sijui kufunga ni mabomu mazto mazito halafu sisi na ujinga wetu eti tufunge na kuomba aina gani ya upumbavu hii?
Namaanisha wenyeweMkuu una maanisha nini kusema "Israel wenyewe"
Wenyewe wenye nini?
Hii nchi ilipofikia haifai hata kuombea tena,labda iombewe lwa matendo.Mimi sio mtu wa siasa sana, wala sio mtu kanisa sana. Nimeona wachungaji wengi wakinena kuombea nchi hadi kanisa katoliki wamefunga novena kuombea haki na amani na kwa kweli nilikua naona maigizo tu. Naipenda nchi yangu, na hata kama nilikua naitetea mno serikali hii ya huyu mama nikiamini labda anarubuniwa au watendaji na washauri wabovu ila doh siku zinazoenda nashindwa hata maneno ya kuongea na siku zote nilikua naona kama watabiri wanaosema nchi inaenda kuchafuka naona kama maigizo.
Ila leo yamenikuta. Nimeota ndoto, usiku huu huu, kwamba nipo barabarani na watu wametoka mtaani, barabara zimejaaa mno nilikuwa nashindwa hadi kutembea, ukikaa vibaya unamezwa na crowd jinsi watu walivyowengi, ilikua ni mgomo watu wameingia barabarani siku ya uchaguzi. Watu walikuwa wengi mno polisi walishindwa kuwadhibiti wanajaribu kupiga wanapigwa wao, cha kusikitisha ni kwamba me nilikuwa naonekana sura watu wakawa wananivuta wanivisha mask wanasema jitahidi usionekane, na wao wamevaa mask. Ila ilikuwa machafuko kweli kweli sio utani. Barabara zimejaaa kila sehemu. Watu walikuwa wengi hadi ilishindikana watu kupiga kura. Waislamu kwa wakristo, tuombee hii nchi aiseee kwa pamoja, hatuna nyumbani nyingine ila ukweli ni kwamba nchi inaenda kuchafuka
NakaziaThe Biggest Enemy That Africa Has To Fight Is Religion.
Ondoa waislam kwenye hayo maombi mwenzao huyo wanaomba hadi majini yawalindie mtu waoMimi sio mtu wa siasa sana, wala sio mtu kanisa sana. Nimeona wachungaji wengi wakinena kuombea nchi hadi kanisa katoliki wamefunga novena kuombea haki na amani na kwa kweli nilikua naona maigizo tu. Naipenda nchi yangu, na hata kama nilikua naitetea mno serikali hii ya huyu mama nikiamini labda anarubuniwa au watendaji na washauri wabovu ila doh siku zinazoenda nashindwa hata maneno ya kuongea na siku zote nilikua naona kama watabiri wanaosema nchi inaenda kuchafuka naona kama maigizo.
Ila leo yamenikuta. Nimeota ndoto, usiku huu huu, kwamba nipo barabarani na watu wametoka mtaani, barabara zimejaaa mno nilikuwa nashindwa hadi kutembea, ukikaa vibaya unamezwa na crowd jinsi watu walivyowengi, ilikua ni mgomo watu wameingia barabarani siku ya uchaguzi. Watu walikuwa wengi mno polisi walishindwa kuwadhibiti wanajaribu kupiga wanapigwa wao, cha kusikitisha ni kwamba me nilikuwa naonekana sura watu wakawa wananivuta wanivisha mask wanasema jitahidi usionekane, na wao wamevaa mask. Ila ilikuwa machafuko kweli kweli sio utani. Barabara zimejaaa kila sehemu. Watu walikuwa wengi hadi ilishindikana watu kupiga kura. Waislamu kwa wakristo, tuombee hii nchi aiseee kwa pamoja, hatuna nyumbani nyingine ila ukweli ni kwamba nchi inaenda kuchafuka
Sala muhimu maishani dini zote tunasali, Inshallah.
Ila je, haiwezi kuwa mawazo yako ulipolala yamejiweka kwa picha ya mnato...
na wewe ukiotaga ndoto zinatokeaje kimwili?
Kwa kweli, naona kama hali ni mbaya mpaka tuliokuwa tunamtetea sasa tunaanza kupewa warning kwenye ndotoSafari hii naona kma mwamko ni mkubwa zaidi sababu hakubaliki sio kwa wazee,watoto au vijana.Naanza kuamini kweli kuna anguko.
Pia uoga umeanza kutoka kwa baadhi ya watanzania ambao ni wapole!
Inafikirisha sana!Mungu amuwekee roho ya nyama Samia ajiondoe tu!