GE2025 Tanzania wakristo kwa waislamu wote tuingie Mfungo kuombea nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mimi pia kuna ndoto niliota wiki kama mbili zimepita.Kuna uwezekano uchaguzi wa mwaka huu ukawa mbaya kuliko chaguzi zote na damu kumwagika
Nimesema hii ndoto huku maksudi ili kama kuna yeyote kaota ndoto kama yangu naye aseme. Najua hamna kinachotendeka duniani kabla Mungu hajsema na binadamu. Tuombe tu kwamba tubaki salama machafuko hayo yakitokea maaana wakuu wamekaza shingo
 
Kumshirikisha muislamu kwenye mambo ya kizalendo ni sawa na kushirikisha nzi wa chooni kwenye usafi
 
Nimesema hii ndoto huku maksudi ili kama kuna yeyote kaota ndoto kama yangu naye aseme. Najua hamna kinachotendeka duniani kabla Mungu hajsema na binadamu. Tuombe tu kwamba tubaki salama machafuko hayo yakitokea maaana wakuu wamekaza shingo
Ndoto yangu ilikuwa ndefu ila nilichonote ni hivi
Nilikuwa natafuta jibu la swali niliambiwa jibu unalolitafuta lipo kwenye mtaala mpya sio wazamani
Mwanamke wa kiislamu alivaa mavazi ya kiislamu ya sio na staha(Means ni mwislamu ila asiye safi) aligawa mafungu ya pesa kwa waislam waliokuwa nje ya msikiti wale waislam waliacha kuswali
Barabarani kulikuwa na ulinzi mkali sana hadi nje ya jengo nililoona kama kanisa askari walikuwepo
Mmoja wa watu naowafahamu aliuawa na polisi nililia sana hadi niliiamka na machozi.Kwenye ndoto ile niliwaambia wale watu nchi hii imegeuka kuwa jehanam
 

The Biggest Enemy That Africa Has To Fight Is Religion.​

Wewe unaishi sababu ya dini, waarabu na wakatoliki ndio walijenga makanisa na msikiti na wakajenga shule ambazo nchi yako ilivopata uhuru mkapewa ndo umbumbu kuisha. Sasa weeee endelea kusema adui wa muafrika ni dini, adui wa mwafrika ni muafrika mwenyewe! Unaona kiongozi wako anaiba unamchekea ila
Mwizi sokoni unamuua kwa moto na tairi. Nchi zilizo serious serikali ikicheza unaondolewa mnaanza upya, hakuna mchezo na wanaheshimu wananchi wao kwajili hii, sasa we endelea kusema adui yako ni kanisa, wewe ndio adui wa taifa lako
 
Reactions: Lax
Nikisikiliza mtu anazungumzia habari za kuombea nchi huo namuona hana akili, naamini ktk maombi ila sio ktk mambo yanayohitaji akili na kujitoa..naamini Mungu haangaiki na watu wajinga wasiotumia maarifa na akili alizowapa kutatua changamoto za kimazingira zinazowakabili...Nepal walielemewa na serikali ya kifisadi, hawakuhamasishana kuomba na kufunga.
 
Tutafute njia nyingine, maombi hayasaidii na hayatakuja kusaidia.

Mungu anasema jisaidie nae atakisaidia..
Suratul yasini uijue lakini mbio pia uwe nazo 😂🤣
Simba anakuja we umesimama unaomba dua, utanena mpaka kiebrania lakini simba atakutafuna.
Omba dua huku unakimbia, unapanda mti.

Watz tupunguze upoyoyo
 
Reactions: Lax
Angalia usijinyee.Ndoto zilimponza Ali Nacha.Yaani umeelekeza matumaini yako kwenye ndoto?
 
watanzania sisi ni waoga sana,, na kuficha udhaifu wa uoga tunajisogeza kwenye maombi yawe kama harakati kuu,,,

ukitaka kuamini hilo kwenye maombi kama haya huwezi sikia nyie Mungu wenu feki hatojibu .


watanzania kama tunaona muda wa kupambana bado tuwe wapole tuelimishane taratibu, ukiwauliza kina museveni, kagame , netanyahu , lukashenko wanaudhalimu kushinda hawa wa kwetu na wamesalia madarakani miaka mingi sisi tuna uspecial gani majibu hawatoi
 
Mimi pia kuna ndoto niliota wiki kama mbili zimepita.Kuna uwezekano uchaguzi wa mwaka huu ukawa mbaya kuliko chaguzi zote na damu kumwagika

kitu pekee kinachowezekan ni turnout ndogo tu
 
Kuna fisadi gani aliwahi kuadhibiwa kwa maombi??? Huko Singapore, na China adhabau ya mwizi wa mali ya umaa ni kunyongwa, hapa kwetu afrika tunaomba mungu awaadhibu. No wonder Mwamposa anaendelea kujipigia kondoo
 
Bado hujajua adui mkubwa wa wa Africa.
Huwezi kuponya tatizo la ubadhirifu wa mali ya umma, ufisadi, ukosefu wa uadilifu katika utumishi wa umma etc. kwa kumtegemea Mungu, unless uwe braindead kama walivyo 'kondoo' wa mwamposa
 
Punguza kula ugali usiku ili uache kuota ndoto za ajabu
 
Reactions: Tui
Hawezi kujiondoa, Huyu yupo radhi kuondoa roho za waTanzania ili yeye abaki madarakani.
 
Punguza kula ugali usiku ili uache kuota ndoto za ajabu
Kulikuwa na "mzoga" humu kwa jina la Kavulata ndio ulikuwa na habari za kipumbavu kama hizi za kula ugali. Chuo chenu cha Kariakoo kina mtaala juu ya somo la kula ugali?
 
Nimesema hii ndoto huku maksudi ili kama kuna yeyote kaota ndoto kama yangu naye aseme. Najua hamna kinachotendeka duniani kabla Mungu hajsema na binadamu. Tuombe tu kwamba tubaki salama machafuko hayo yakitokea maaana wakuu wamekaza shingo
Wasuburie kuona maafa yaliyotokea maana watu walisema tupunguze kula ugali
 
Wasuburie kuona maafa yaliyotokea maana watu walisema tupunguze kula ugali
Laiti wangesikiliza sauti ya Mungu na kuchukua hatua labda tungepunguza makali ya haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…