Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hahaha spymaster nakuona unawazoom tuIla jamani vingine si waje tuwasaidie.. Kitangazo hani hicho ๐๐๐ khaaaaaaaa
Sekunde zote zinaonyesha wanyama hakuna neno lolote, halafu kibendera kama mchoro kinapita
Ila aiseeeee... Na huyo anasubiria tangazo lake aonyeshe kazi imefanyika.. Arushe yeye tu ndio anajua lahusu nini analiangalia hapo..
Mfanye kazi nyie sio michezo.. Hamjui semeni musaidiwe..
๐ ๐ ๐Hahaha spymaster nakuona unawazoom tu
Huo ni upigaji kama mwingine wowote waliozoea hawa wezi.Lobbying kwenye corridors of Power ingeleta mantiki zaidi kuliko kukodi gari na kupitisha mitaani, wako wameconcetrate na mpira, hapo ni kupoteza tu pesa.
Chaneli gani hiyo? ile ya ile pale Bamaga?Kodi za wananchi zimefanya kazi, sasa tuone mabadiliko ya kweli kwenye hili.
================
Tanzania imekuwa taifa la kwanza barani Afrika kutumia Kombe la Dunia 2026 nchini Canada, katika jiji la Toronto, kama jukwaa kubwa la kutangaza sekta yake ya utalii.
Malori yenye mabango ya kampeni ya โDestination Tanzaniaโ yameonekana yakizunguka maeneo mbalimbali ya jiji hilo, yakionesha vivutio vya utalii kama Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Zanzibar na Bonde la Ngorongoro, huku yakivutia hisia za mashabiki wa soka na wageni kutoka mataifa mbalimbali.
Kampeni hiyo inakuja wakati Tanzania ikijiandaa kuwa mwenyeji wa AFCON 2027, kwa kutumia hadhira kubwa ya kimataifa ya Kombe la Dunia kutangaza nchi kama moja ya vivutio bora vya utalii duniani.