Tanzania wants kenya to pay kshs2.3 billion uchumi supermarket debt

A country with two seating Presidents... Labda Magufuli akiongea vzr na best yake Rais Raila inaweza serikali yake ikalipa.
tuna marais zaidi ya wawili ndugu...umesahau rais wa Sudan Kusini na rais wa Somalia wote wanaishi nchini kutokana na hali ya usalama nchini mwao...
 
Nyie mbwa ccm hela za makinikia ziko wapi?
 
Hivi madeni ya kampuni binafsi yalipwe na serikali ya kenya?
Kwani wao waliwa guarantee?
Haya
 
wamesahau omba omba wao wamejaa kule Nairobi na vikombe vyao..... wengine wapo nje ya supermarkets hizo hizo wakiomba omba wakenya😀😀😀😀...ila deni litalipwa na Uchumi msijali...hizo hela ndogo sana😀😀ungesema 1 Billion dollars hapo ndio taabu...unajua currency yenu ni kama tu kinyesi...matrilioni ya pesa ukibadilisha unapata kumbe tu ni 2.3Billion KSH😀😀
Hamna uwezo wankulipa ninyi, njaa imewazidi sana, tuliwauzia mahindi mwaka 2014 hadi leo hamjalipa, bahati nzuri yale mahindi yalitoka katika hazina ya chakula ya taifa, ni biashara kati ya serikali kwa serikali, sio private sector kama ilivyo hili la Uchumi supermarket, otherwise mngelazimishwa kulipa hilo deni haraka sana
 
tuna marais zaidi ya wawili ndugu...umesahau rais wa Sudan Kusini na rais wa Somalia wote wanaishi nchini kutokana na hali ya usalama nchini mwao...
Hivi kati ya Somalia na Kenya, wapi usalama ni mzuri zaidi?, huwa hizi nchi zinalingana sana kiusalama na hali ya upatikanaji chakula hadi ninashindwa kuzitenganisha.
 
Hivi madeni ya kampuni binafsi yalipwe na serikali ya kenya?
Kwani wao waliwa guarantee?
Haya

Ni vema ungesima vizuri kabla hujajibu chochote, Uchumi its a company na ina share holders na miongoni mwa shareholders ni Kenyan government na ndo main shareholder ambapo according to Company Laws, main shareholder ndo director au kwa simple Language yeye ndo boss. A company is a legal person thus can sue and can be sued, Uchumi is being sued to pay the debts but who to be sued to represent the company? jibu ni shareholders and directors thus Kenyan government inabeba liability.. Ni legal matter kwahyo kama huna uelewa wowote wa Laws huwezi elewa hili suala kwa kuliangalia kisiasa. Unadhani Serikali ya Tz hadi kufika huko wamekurupuka tu mzee???. they are knocking at a right door legally
 
  • Thanks
Reactions: Oii
tuna marais zaidi ya wawili ndugu...umesahau rais wa Sudan Kusini na rais wa Somalia wote wanaishi nchini kutokana na hali ya usalama nchini mwao...
Rubbish ndugu umeongea,ushasema Rais wa Sudan Kusini na Rais wa Somalia,kwani hizo nchi ni Kenya?
 
__320x320_5a7404f7e35a7.jpg

The frosty trade relations between Kenya and Tanzania could get worse after the latter demanded payment of a Sh2.3 billion debt owed by Uchumi Supermarket.

Tanzania wants the Kenyan Government to take responsibility for the debt to its suppliers racked up by the struggling retailer’s Tanzanian subsidiary that was shut in 2015.

This was one of the top agenda of a four-day bilateral trade meeting between the two countries held in Mombasa. The meeting had been called to discuss the waning relations between Nairobi and Dar es Salaam but saw the issue of Uchumi and Nakumatt supermarkets sneaked into the agenda.
TANZANIA WANTS KENYA TO PAY KSHS2.3 BILLION UCHUMI SUPERMARKET DEBT - Corporate Digest

Wakenya madeni yatawaua yaani deni mnalodaiwa na TZ ni $22.56ml.
Bado madeni mengine meengi tunawadai. Lipeni pesa zetu tuendelee na ujenzi wa SGR.
Mbona viongozi wenu wanaleta issue za Kipuzi for cheap PR kwa bilateral trade meetings?
Badala ya kupanga jinsi vipi wafana biashara wa Tz watauza bidhaa Kenya kwa miaka kumi ijayo, mnataka kuzulia mkutano a siku nne na issue ndogo ambayo tayari ilikua inatatuliwa bila shida, now that mumeingiza drama kwa hii issue, keya inaeza kuamua ku delay kuwalipa out of spite.
We always pay our debt, As soon as Cabinet is sworn in the rest of the money will come
Kenya approves Sh6bn to pay Uchumi suppliers
 
We don't need bla bla we need our money. Ziingie kwenye mzunguko wetu. Na kuna madeni mengine mengi ya mahindi tuliwakopesha 2014 wakati mkiwa na njaa mpaka leo hamjatulipa.
How can we do business while GOK don't pay our people.
Lipeni kwanza ndio tuingie mezani kuongea.
 
Hamna jeuri ya kukataa kuilipa Tanzania, sisi ndiyo tunaoamua nini kifanyike katika ukanda huu, kama tulitaifisha ng'gombe zenu na serikali yenu imeshindwa hata kuja kufuatilia badala yake ikawalipa fidia wafugaji waliopoteza mifugo yao, vipi unataka kusema mnaweza kukataa kulipa?

Kiukweli kinachoendelea ni kujaribu kuwachokoza ili tuone mtakavyo react, lengo tufunge mpaka ili tuwa cut off na soko la SADC ambalo mnalitegemea sana.
 
Story nyingi bila proof,

Kawaida watanzania mna argue kutumia emotions badala ya akili, kutaifisha ng'omb kadhaa zilizoingia Tz ndo kunakupata kajeuri wakati tunawauzia bidhaa mara dufu kuliko mnachotuuziawakati mmebania bidhaa zetu, je mkituachia bila rstrictions si tuafunika market nzima ya Tanzania.... Mwiho wa siku, ni wakulima, wafanyi biashara wa Tz ndo wataumia, sisi huku kenya tutafanya juhudi zozoteincluding sleeping with the enemy ili tulinde kampuni zetu,wakulima wetu, wafanyibiashara wetu..... Mkitaifisha ng'ombe utawafidia wakulma wanunue zengine, UK ikiban miraa, tutawaidia wakulima apandemimeaa mingine, maziwa yakiaribika tutawalipa wakulima fidia, kampuni kama Uchumi ikifilisika, tutawalipa suppliers wote!
 
Halafu jamaa tunawadai wanakuja kutupigia kelele humu. Wanatakiwa walipe madeni yetu. Tunawadai madeni kibao, bado madeni ya TANESCO.
Usisahau na wewe kulipa deni la bombadia.. zimifikia 3 ziminaswa[emoji574] [emoji574] [emoji574]
 
MWALLA muigizaji wa kenya. Wajifanya mTZ. Lazima mlipe ili tulipe madeni.
 
Bombadia zimekuja au bado
How does that matter of bombardier involved katika deni tunalowadai nyie wakenya? Lipa deni kwanza and the issue of our madeni tutaiwayo haiwahusu. You just pay madeni tunayowadai full stop
 
Mmikwama...[emoji196] [emoji83] [emoji574] [emoji574] [emoji574]
Too much talking ndo imiwacose.
Babaenyu anajifanya anajua sana kubuild country.. but he fail. Total fail[emoji196]
 
Good for you.
 
Back
Top Bottom