MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
...mae[emoji196] [emoji379] [emoji61]Good for you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...mae[emoji196] [emoji379] [emoji61]Good for you.
Tokea huyu jamaa aingie uwezo wa watanzania kufikiri umeshuka sana mpaka tunatia aibuKwani Uchumi Supermarket ni Kampuni ya serikali ya Kenya? Sometimes watanzania ni watu wa kukurupuka sana, sijui Kwanini siku za karibuni tumekuww tunapenda sana chokochoko na hawa ndg zetu!
Mmikwama...[emoji196] [emoji83] [emoji574] [emoji574] [emoji574]
Too much talking ndo imiwacose.
Babaenyu anajifanya anajua sana kubuild country.. but he fail. Total fail[emoji196]
Si ni ma[emoji83] [emoji84]nyie ndo zenu kuwalalamikia marais wetu. hata nakumbuka JK alivyokuwa madarakani mlimlaumu sana. mkawa mnasema anairudisha nchi kwenye ujamaa. na huyu tena naye mnamlaumu. yaani NYIE hamna jema. uzuri marais wetu hawasumbuliwi na hilo.
Lumumba mpo? Jibuni.Msisahau pia kushinikiza serikali na bunge lenu kulipa zile hela za kugharamia matibabu ya Tundu Lissu hospitalini pale Nairobi.
MaguHivi Rais wa Kenya sasa hivi ni nani?
Mbona unazungumza kama uliyeshiba miraa?, mimi ninazungumzia kama Kenya ina jeuri ya kukataa kulipa deni la Tanzania kama ulivyotishia hapo juu, nimesema hamna jeuri hiyo ya kutunishia msuli Tanzania, ila sisi tunaweza kuwafanya tupendavyo na msiweze kutufanya lolote kama ambavyo tumewafanyia katika sakata la Ng'ombe, vifaranga, kuzuia safari za KQ, kuwafukuza wakenya wanaoishi Tanzania, na mengine mengi tuStory nyingi bila proof,
Kawaida watanzania mna argue kutumia emotions badala ya akili, kutaifisha ng'omb kadhaa zilizoingia Tz ndo kunakupata kajeuri wakati tunawauzia bidhaa mara dufu kuliko mnachotuuziawakati mmebania bidhaa zetu, je mkituachia bila rstrictions si tuafunika market nzima ya Tanzania.... Mwiho wa siku, ni wakulima, wafanyi biashara wa Tz ndo wataumia, sisi huku kenya tutafanya juhudi zozoteincluding sleeping with the enemy ili tulinde kampuni zetu,wakulima wetu, wafanyibiashara wetu..... Mkitaifisha ng'ombe utawafidia wakulma wanunue zengine, UK ikiban miraa, tutawaidia wakulima apandemimeaa mingine, maziwa yakiaribika tutawalipa wakulima fidia, kampuni kama Uchumi ikifilisika, tutawalipa suppliers wote!
Hawana pesa wanajaribu kupotezea kwa ujanja ujanja, hiyo debt ya 60%, pesa ya Tanzania ukiongeza na yale mahindi ya 2014 huenda ikafika 10% ya hilo deni, stupid Economy ya makaratasiHow does that matter of bombardier involved katika deni tunalowadai nyie wakenya? Lipa deni kwanza and the issue of our madeni tutaiwayo haiwahusu. You just pay madeni tunayowadai full stop
Hehehe sasa unamwambia huyo homeless alipe deni wakati hapo alipo ni free WiFi zone uhakika wa unga tu ni 6 out of 100 sidhani kama anakuelewa.Basi lipeni. Sasa mnadaiwa halafu mnaanza kupiga kelele dawa ya deni kulipa. Hata kama ni pesa kidogo. Maadamu kuwa ni deni ni lazima ulipe bro ili siku nyingine tuweze kukukopesha. Na kunamadeni kibao tukiyaweka hapa utajionea aibu.
We una mavi nini yanakubana? Go toilet sio huku kwa waheshiwa pumbavuTokea huyu jamaa aingie uwezo wa watanzania kufikiri umeshuka sana mpaka tunatia aibu
Acha ukunya,wenye share kubwa pale ni Kenyan govtKwani Uchumi Supermarket ni Kampuni ya serikali ya Kenya? Sometimes watanzania ni watu wa kukurupuka sana, sijui Kwanini siku za karibuni tumekuww tunapenda sana chokochoko na hawa ndg zetu!
Ni vema ungesima vizuri kabla hujajibu chochote, Uchumi its a company na ina share holders na miongoni mwa shareholders ni Kenyan government na ndo main shareholder ambapo according to Company Laws, main shareholder ndo director au kwa simple Language yeye ndo boss. A company is a legal person thus can sue and can be sued, Uchumi is being sued to pay the debts but who to be sued to represent the company? jibu ni shareholders and directors thus Kenyan government inabeba liability.. Ni legal matter kwahyo kama huna uelewa wowote wa Laws huwezi elewa hili suala kwa kuliangalia kisiasa. Unadhani Serikali ya Tz hadi kufika huko wamekurupuka tu mzee???. they are knocking at a right door legally
Kuna maelezo unaenda sawa lakini kunamaelezo mengine unachemka kidogo. Je umewahi kusikia ndege ya Tanzania imekamatwa huko Ulaya kwa sababu ya kudaiwa? Kama ndiyo kwanini?Kwanza limited liability company liability inabaki kwa Company yenyewe na assets zake. Haihusu mali za shareholders
Ikifilisika zinauzwa mali zake kufidia madeni na sio mali za shareholders. Hio ndio company law inavosema usipindishe.
Pili Uchumi ni Public listed company. Kenya goverment in hisa 14% only
Share wakubwa ni Jamii Bora bank wakiwa na 15.8%
Share ziliobaki ni za watu binafsi na wanahisa kupitia soko la hisa EA.
Kwa Taarifa yako Company ni mfano wa mtu. Linaweza kushtaki n kushtakiwa ni legal person .
Unaposajili company yako Brella unaandaa masharti ya kampuni yako Memorandum and articles of association...unapewa certificate of incorporation ....hapo tayari unakuwa kampuni yenyewe inakua a legal person.
Shareholders wataweza kushtakiwa kwa makosa ya jinai kupitia kampuni yao. Kufilisikia , kushindwa kampuni kujiendesha , kushindwa kulipa wadeni kinacho lipa madeni hayo ni Assets zake .
Hapa serikali imeweka sharti ambalo ni gumu kama vile take it or leave it....unless madeni hayo sio mengi Kenya wanaweza kulipa kwa sababu wao wanauza kwetu zaidi kuliko sisi. Lakini wanaweza kukataa pia.
Khaa nimekupata bro. hiyo option ipo mezani Kwa Magu zile Embraer zinalipa kabisa deni. ☝Kuna maelezo unaenda sawa lakini kunamaelezo mengine unachemka kidogo. Je umewahi kusikia ndege ya Tanzania imekamatwa huko Ulaya kwa sababu ya kudaiwa? Kama ndiyo kwanini?