Tanzania watu wanaishi maisha magumu sana ila hawasemi wala kulalamika!

Mtu ambaye hana changamoto za maisha hawezi kwenda kujiuza Buguruni hadi saanane usiku.
Saa 8 usiku unafuata nini Buguruni kwenye Dangulo huko ndio kwenye Msikiti? Wateja wanaowahudumia wengi wao hua wanavaa km ulivyovaa yaan kanzu na baragashea hilo pia hulijui?
 
Kwahio na wanaonunua wana maisha mazuri sana ?

Maisha Bongo ni magumu watu hawana basic needs that is a fact..., ila hicho sio kipimo sababu ni huduma kama huduma nyingine (Oldest Profession in the World);
Kwahio na wanaonunua wana maisha mazuri sana ? 🤣
 
Nimekuwa nikilifikiria hili saana.
 
Kwo unataka kusema makobazi hawana 🤣hisia kobazi suleiman kwenye maandiko alikuwa na concubines 300 wewe ni nani hata 🤣usile nyama choma za nje
 
taja nchi amabayo hakuna watu wanaojiuza usiku
nitajie nchi mbili kutoka ulaya
then tuendelee na nchi nyingine
 
wavivu na wanyonge kiuchumi hushangaa kila kitu 🐒
 
Hahhaa kuna wengi wanaenda hapo kama wewe pengine!
Hajui kwamba kabla ya azana ya saa 10 wapo wenzie ambao wanapitia hapo kwanza kukata stimu ndio maana aliposogelea wakajua ndio wale wale wateja wao wa kila siku
 
Tatizo ni ufisadi wa watawala yaani majizi ya kupindukia huku wakijifanya wanahuzunishwa sana na umasikini wa wananchi.
 
Anajiuza kwasababu kichwani kakosa maarifa ya kutafuta pesa bila papuchi yake na maadili hafifu yaliyokosa hofu ya Mungu
Hawataki kuumiza vichwa na kutumia nguvu
Ndomana sahv umalay umepamb moto

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…