zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Saa 8 usiku unafuata nini Buguruni kwenye Dangulo huko ndio kwenye Msikiti? Wateja wanaowahudumia wengi wao hua wanavaa km ulivyovaa yaan kanzu na baragashea hilo pia hulijui?Mtu ambaye hana changamoto za maisha hawezi kwenda kujiuza Buguruni hadi saanane usiku.