Halafu mambo haya ni ya ajabu sana, hivi Tanzania tumekosa vijana wabunifu wanao weza kufanya mambo yakawa mazuri. vijana tupowabunifu, kazi zote wamewapa ndugu zao hata kama hawawezi. Kazi yao kubwa ni kupiga majungu maofisini. Wambie watupe hiyo kazi one month inatosha kuifanya iwe hai. Tatizo wanaajili watu wenye njaa na sio wenye ujuzi. Tabu tupu.
Tatizio kubwa naamini ni uzembe wa viongozi wa juu. Angalia website ya COET ipo poa kwa mbali. piga link mbili atu utaona upuuzi walioufanya, niliangalia nikachoka. Website zote za vyuo ni ovyo hakuna walau unayoweza sema ipo pale kuwakilisha hizo taasisi. nafikiri itabidi tufanye mjadala mzuri hapa jukwani kupata sababu za taasisi za serikali kuwa na tovuti zilizo kufa kiasi hicho.
Mbona wenzetu kenya naona vitu si mbaya kama sisi. lazima kuna kaugonjwa sugu. Unaweza kuta hata mimi naongea hapa, nikisha ajiliwa nafanya yaleyale. so whats wrong??